BONGOLALA
JF-Expert Member
- Sep 14, 2009
- 16,511
- 11,913
Wana JF mkumbuke kuwa watoto wake na mke wa Rage hawapo hapa nchini,source EATV kipindi mkasi,hvyo huyu jamaa kishapanga kuifanya tanzania kuwa somalia ingine!!kesi ngapi kisha shtakiwa huyu na kukutwa na hatia?bado ccm wanamkumbatia au niyakumbuke yale maneno ya kulindana:-
Viapo vilivyowasilishwa kwako havina uzito wowote, kwani vinazidi kudhihirisha ulaghai alionao mhusika ….hati aliyotoa ***** kwako ni ya kughushi …anapaswa kushtakiwa kisheria…kwa kuzingatia mchango mkubwa wa CCM katika taifa letu hatuoni sababu ya kumfikisha bwana ***** kwenye vyombo vya sheria sasa," Barua hiyo ilinukuu sehemu ya waraka uliotumwa kwa Katibu wa CCM.