Huyu makweta msimbonde jamani. Unajua yeye ndio waziri wa elimu aliyemshauri Nyerere mwaka 1983 tanzania ijenge secondari mpaka ngazi za kata? Alikuwa chapa kazi kweli na kila alilotaka kufanya , yeye alilifanyia survey. Hoja ya mwaka 1983 ingekubaliwa na nyerere tungefika mbali sana kwa kusomesha vijana wetu kuwapita hata Kenya na Uganda.