Jakson Makweta...!

Jakson Makweta...!

Huyu makweta msimbonde jamani. Unajua yeye ndio waziri wa elimu aliyemshauri Nyerere mwaka 1983 tanzania ijenge secondari mpaka ngazi za kata? Alikuwa chapa kazi kweli na kila alilotaka kufanya , yeye alilifanyia survey. Hoja ya mwaka 1983 ingekubaliwa na nyerere tungefika mbali sana kwa kusomesha vijana wetu kuwapita hata Kenya na Uganda.
JK Nyerere asingekubali tusome elimu ya juu tukaelewa ulimwengu unavyo kwenda. Ndiyo maana alikuwa akiangalia TV, anatuhabarisha Wtz yanayojiri EUROPE, afu tunamwona ni kama nabii. Hakuanzisha sekondari nyingi kwa lengo kuwa elimu ya msingi ingemwezesha mwanaf. Kujitegemea. Na ndiyo maana hata yule aliyekuwa bright primary, alipelekwa chuo kujifunza jinsi ya kuwafundisha wadogo zake primary, kwa kisingizio kuwa kuna uhaba wa walimu. Ndiyo maana watz wengi hatujiamini kwa kuwa, hatuna kitu. Na hali hii imepelekea JK kungoja 10 years ili tuwe na ushirika wa EA Community wa ajira ndipo uanze, kwa hofu kuwa hakuna Mtz atakaye ambua kitu.
 
Wakuu habari zenu?
Naomba kuuliza hivi huyu JAKSON MAKWETA bado ni mbunge? Sijamsikia muda sasa,nakumbuka aliomba kipindi cha kwanza cha JK amalizie,mwenye taarifa naomba anijuze.
Aliomba amalizie nini? kwani alikuwa hajui mkataba wa kazi ya kuajiliwa na wananchi ni miaka 5? kama uwezi kufanya kitu ndani ya miaka 5 hatukuhitaji, by the way hata JK alishasema hata yeye hatoyamaliza.
 
Makweta alitoswaga na Sumaye kwenye baraza la mawaziri, Sumaye alivyopewa u PM Makweta akwaombwa kutoa speech fupi kumpongeza akiwa kama mbunge mwenye muda mrefu. Katika speech yake akiona kama anamsifia Sumaye akasema " Mimi nilipokuwa waziri wa mifugo Sumaye akiwa naibu wangu, kuna siku alichelewa kwenye kikao nikamrudisha alikotoka. Jamaa ndio ikawa mwisho kuingia kwenye baraza la mawaziri.
 
Mzee kama Makweta amejikuwa mtumishi mwadilifu lakini baada ya utumishi wake kuisha ametoswa, yupo anahangaika sawasawa na yeyote ambaye hakuwahi kuwa kiongozi wa juu katika nchi. Hizo ndo siasa za bongo. Mara mia bora kufanya professional works kuliko hizi za kupiga uongo.

Nakubaliana nfa wewe, wengi wameachwa na kusahaulika kbs. Sjajua kama huwa wana michango ya pensheni
 
Back
Top Bottom