Anaandika!
Ongezea na Fala Nape NnauyeHuu ujumbe unamuhusu Kigwangala.
Kikwete kaikana hiyo Tweet siyo yake.
Alipiga nyungu kabisa kwenye ile mashine,kumfurahisha mwendazake,kusaka cheo,ili arudishwe kundini. Kabla jogoo hajawika amemkana mara 3Huu ujumbe unamuhusu Kigwangala.
Hii account siyo ya Jakaya, Official account ya Twitter ya Jakaya ina blue tick