Yaani wakati anamaliza muda wake bado unajuta? Aligombea mwaka 2005 akashinda. Akagombea tena mwaka 2010 akashinda. Sasa hapo unajuta nini. Utajuta sana utakapomchagua Lowasa na akapogwa chiniHana lolote najuta kumchagua huyu kiumbe
Duh! Hii mada ya kupuuzi sana. Wameacha kujadili masuala muhimu kama ajali ya mchungaji Mtikila wanajadili watuanajifanya aogopi lakn ni mtu mwoga sana aliyepata kutokea anajua kitu hataji anawaambia wengine wataje
Ni rais ambaye ni maarufu kwa kuhonga wilaya/mikoa na wizara
mkuu Paul Alex, hoja yako imesimama vizuri. Nakushauri hizo contents zako uziwekee namba kama hivi ili kurahisisha watoa mawazo.Ndio maana leo naomba msaada kwa waliomfahamu vizuri, wapendwa; Jakaya Mrisho Kikwete ni nani?
1. Je, ni mwanamapinduzi au labda ni mwanamageuzi?
2. Je,ni mtu asieogopa kujaribu au ni mtu asiyejua anachojaribu?
3. Je,ni dicteta aliyejificha kwenye ngozi ya democrasia au ni mtu mwenye misimamo isioyumba?
4. Je, ni mtu msafi aliyezungukwa na waizi au ni mafia anayetumia mkono wa giza kufanya mambo yake?
5. Je, Magufuli ni zawadi ya Kikwete kwa Tanzania au ni toleo la pili la Kikwete?
Wadau nisaidieni kujua, Jakaya Mrisho Kikwete ni nani?