Linchi la kijinga kweli hili.
Umeona wapi eti hata kodi za pango la nyumba sehemu kama Sinza au Kurasini zinalipwa kwa dola?
Nchi ikiwa imejaa watu wajinga na wapumbavu kuliko ilivyo kawaida kupata maendeleo ni ndoto!

Bongo Viongozi wake wengi ni Wasanii tu hakuna viongozi imara. Na Wakati wa uchaguzi munawachaguwa hao hao Viongozi wasanii? Wa-Tanganyika aliye Waroga amekwisha Kufa hamuwezi Tena kupona Poleni sana.Jamaa anashangaza sana aisee, miaka 10 kauchuna kimya huku Watanzania tukipiga kelele za kutosha hili la Watanzania kulipa kwa dollar katika mambo mbali mbali nchini. Nakumbuka hapa kulikuwa na mjadala mzito kuhusu issue hii na magazeti mengi nchini yaliandika kwa kina, lakini akaendelea kuuchuna tu. Kabakisha miezi mitatu ndiyo anatoa kauli kama hii tena baada ya kuulizwa swali akiwa India. Hakustahili kabisa huyu kuwa kiongozi wa nchi yetu kaiacha katika hali mbaya sana kuliko alivyoikuta. Bado anaendelea na safri yake ya kuaga nchi za nje, pamoja kujua nchi haina pesa na safri zake zinaongeza deni la Taifa wala hajali anatanua tu.
Bongo Viongozi wake wengi ni Wasanii tu hakuna viongozi imara. Na Wakati wa uchaguzi munawachaguwa hao hao Viongozi wasanii? Wa-Tanganyika aliye Waroga amekwisha Kufa hamuwezi Tena kupona Poleni sana.
Linchi la kijinga kweli hili.
Umeona wapi eti hata kodi za pango la nyumba sehemu kama Sinza au Kurasini zinalipwa kwa dola?
Nchi ikiwa imejaa watu wajinga na wapumbavu kuliko ilivyo kawaida kupata maendeleo ni ndoto!
Anakumbuka blanket wakat kumekucha. Maisha ya kuigiza Tz yamezidi kuliko reality