Jakaya Kikwete: Nilifundishwa kuishi na viongozi wenzangu, upendo ndio kila kitu

Sukuma gang naona unatafuta uungwaji mkono!
 
Hata angekuwa bondeni kwa Mandela, angepata kashi kashi sana kwa hujuma aliyoifanyia nchi hii!! Enzi ya Magufuli HOME SHOPPING CENTRE [ GSM] uliwasikia? Huoni ajabu leo wameanza jeuri yao?
Hakuna inchi bila matajiri jombaa
 
Ndiyo maana Marekani inapaa kimaendeleo sababu ya kupenda taifa lao kuliko kitu chochote
 
Hakuna inchi bila matajiri jombaa

Musk ,Gates, Bezos, Warren Buffet ni matajiri wa kutupa, wamemuibia nani? Lakini huyo HOME SHOPPING CENTRE[ GSM] na mbia wao waretuibia sana kwa kuingiza Mali bandarini miaka yote kumi ya utawala wake bila kulipa kodi!! Ushahidi wananchi wanao, muda wake ukifika kama ilivyokuwa kwa wakina Gupta na Zuma utatolewa na hapo ndipo mtakapojua kuwa waTANZNIA sio makapuku kama mnavyowadhania!!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…