CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,611
- 42,643
Huyo mzee ni Kivuruge
Kufanikiwa kwa kuwatapeli wanyonge ? au Kufanikiwa kwa kutengeneza mtandao wa kitapeli ?Huyo mzee ni zungu la roho.
Chuki dhidi yake ni kwa sababu kabarikiwa. Na mti wenye matunda ndo hupopolewa mawe.
Niliyoandika nimeandika.Tukubaliane hakuna binadamu anaweza kua na Mabaya tu ndo point yangu
Yeye alishikwa mnono na nani? Ukisema hiyo utashangaa hamna ambaye hajashikwa mkono, hata Nyerere, Mwinyi hata JPMkashika vijana wengi sana mkonoVijana wengi waliingia kwenye siasa kipindi cha huyu mzee JK ameshika mkono vijana wengi. Hata huyu Polepole anayewepa furaha sasa hivi kamtengeneza JK Mnyonge Mnyongeni haki yake Mpeni.
We una shida ya akiliWatanzania tumekua na tabia ya kuona Mabaya tu ya watu hata Wewe una mabaya yako na mazuri
kweli kabisa, pia anayo mazuri . Na hakuna mtu mkamilifuJK ni mtu humble sana katengeneza vijana wengi ila mazuri yake hawayasemi
Maji machafu yenye tope.Vijana wengi waliingia kwenye siasa kipindi cha huyu mzee JK ameshika mkono vijana wengi. Hata huyu Polepole anayewepa furaha sasa hivi kamtengeneza JK Mnyonge Mnyongeni haki yake Mpeni.
Kwa uharibifu wake na haki walizonyimwa watanzania hata kukosa madawa hospitalini na madawati shuleni kutokana na ufisadi wake na mtandao wake unapata wapi akili na nguvu za kumsifia mtu wa namna hiyo!?.. unajua ni raia wangapi wameuawa na wanamtandao!?, familia ngapi zimeumizwa!?.. anayemsifia JK kama halipwi kufanya hivyo, hana akili au zipo matakoni.Huna haja ya kumpinga. Kasema tumpe haki yake ya kusaidia vijana halafu tumnyonge kutokana na mtandao wa ufisadi wake. Mimi namuunga mkono
Kwa mila na desturi zetu unadhani mzee wa makamo mwenye mafanikio makubwa, umaarufu, hadhi na heshima kubwa ya namna yake ni sahihi kukaa mitandaoni anatupiana maneno ili kwa nia ya kujisafisha au kuwaaminisha watu tofauti ili ashindane na kijana mdogo kiumri, kimafanikio na kiumaarufu kama bwana Polepole?!Kweli kabisa, JK anaazijua siasa za bongo, ila Pole Pole anayosema ni kweli ama si kweli, mzee wetu ikimpendeza Afanye Press kwake maoga tumjue mchawi ni nano
Bona jukwaani alimjibu ki aina ila nusu nusu ?Kwa mila na desturi zetu unadhani mzee wa makamo mwenye mafanikio makubwa, umaarufu, hadhi na heshima kubwa ya namna yake ni sahihi kukaa mitandaoni anatupiana maneno ili kwa nia ya kujisafisha au kuwaaminisha watu tofauti ili ashindane na kijana mdogo kiumri, kimafanikio na kiumaarufu kama bwana Polepole?!
Tafakari kwanza…
je nyerere?Vijana wengi waliingia kwenye siasa kipindi cha huyu mzee JK ameshika mkono vijana wengi. Hata huyu Polepole anayewepa furaha sasa hivi kamtengeneza JK Mnyonge Mnyongeni haki yake Mpeni.
Mbona polepole alushaweka wazi hili ,Tena hakupeoesa machoVijana wengi waliingia kwenye siasa kipindi cha huyu mzee JK ameshika mkono vijana wengi. Hata huyu Polepole anayewepa furaha sasa hivi kamtengeneza JK Mnyonge Mnyongeni haki yake Mpeni.
Bilionea jk
Dhuluma haisifiwiBilionea jk
Kufanikiwa kwa kuwatapeli wanyonge ? au Kufanikiwa kwa kutengeneza mtandao wa kitapeli ?
Mwangalie mtu kama Obama na Viongozi wengine dunia ya 1 walitoka na nini ikulu then njoo afrika .
Mtu anapewa sifa za kishamba wakati ndo sababu Tz hakuna Demokrasia. Tf!
Hizi mimba za chuki mnazaa lini?JK Mnyonge Mnyongeni haki yake Mpeni. Haki ipi ? JK alitakiwa awe Jela.
Utapeli alioufanya kuwarubuni watanzania ingekua ni china angekua ameshasogezewa katanzi.
Kwa ufupi JK ni Mzee mpumbavu!