Hapo tunamzungumzia JK kama JK.
Topic ya uhuni na wizi ni pana sana.
Kwa ufupi, mwingine sio uhuni ni wizi uliopangwa na Dola kwa namna fulani kwa manufaa fulani na hata baadhi ya matajiri wanatengeneza na Dola kwa maslahi fulani, unaweza kuwaita tycoons/Oligarchs, hawa wapo kila mahala duniani.
CIA wana kashfa ya kushirikiana na magenge ya madawa south America na Carrebeans na wakishamalizana na wewe, unadakwa, unakweka jela USA au unapotezwa.
USA wanakashfa ya kuchapisha Dola kwa manufaa yao ndio maana wamefanya umafia wote tuitumie Dola.
Chukua hii: kwenye kitabu chake BWM alikiri na kuomba msamaha kwa Serikali kuhusika kwenye kashfa ya Kagoda (RA involved) ili Serikali ipate hela za kampeni.
Hii topic ni ndefu na hapa sio mahala pake.
ndani ya viunga vya Hodeidah Yemen.