JK ni alama ya mwanamume, ni alama ya mtoto wa mjini nk.
Huwezi kumkuta JK analialia au analalamikalalamika hata pale alipokatwa 1995 alishake hand maisha yakaendelea.
Hotuba Ile aliyoitoa Dodoma 1996 baada ya kukatwa ilimfanya JKN kusimama na kumkumbatia kijana wake.
JK ananyota ya kupewa lawama hata pale asipohusika na ana nyota pia yakutopongezwa hata kwa jambo alilotenda yeye, ndio maana mengi mazuri na makubwa aliyoyatenda sifa hupewa wengine na yeye hubaki na amani tu.
Moja ya sifa ya JK ni kutokuwa na shida na mtu mpaka pale utakapolianzisha.
Siku zote huchokozwa kabla ya kurudisha mashambulizi yake hili hata RA analijua maana before election 2015 alilala mbele.
Umuhimu wa JK ni ngumu raia wa kawaida na majasusi uchwara wa JF kuujua, wapo wazee wabobezi wanajua umuhimu wa JK kwa Taifa hili na role yake ni nini.
ndani ya mitaa ya Hodeidah Yemen.