Jakaya Kikwete ndiye aliyemtengeneza Polepole

so what? kila mtu ni lzm aanzie mahali hata yeye alishikwa mkono pia, isistoshe mbona H.Polepole kwenye maongezi yake amelitambua hilo na kumshukuru sana tu tena kwa unyenyekevu mkubwa, sasa ulitaka afanye lipi zaidi ya hilo, ambebe, au ? ...
 
Vijana wengi waliingia kwenye siasa kipindi cha huyu mzee JK ameshika mkono vijana wengi. Hata huyu Polepole anayewepa furaha sasa hivi kamtengeneza JK Mnyonge Mnyongeni haki yake Mpeni.
Kwahiyo kwasababu alisaidia vijana wengi kuingia kwenye siasa mtandao wake wa kifisadi usizungumziwe!?.., nyie ndo type ya watu 2005 mlikuwa wafuasi wa JK kama mgombea wa CCM kisa handsome. Sometimes waweza kuhisi akili za baadhi ya watanzania zipo matakoni.
 
JK Mnyonge Mnyongeni haki yake Mpeni. Haki ipi ? JK alitakiwa awe Jela.

Utapeli alioufanya kuwarubuni watanzania ingekua ni china angekua ameshasogezewa katanzi.

Kwa ufupi JK ni Mzee mpumbavu!
😂😂😂
 
Kwahiyo kwasababu alisaidia vijana wengi kuingia kwenye siasa mtandao wake wa kifisadi usizungumziwe!?.., nyie ndo type ya watu 2005 mlikuwa wafuasi wa JK kama mgombea wa CCM kisa handsome. Sometimes waweza kuhisi akili za baadhi ya watanzania zipo matakoni.
Watanzania tumekua na tabia ya kuona Mabaya tu ya watu hata Wewe una mabaya yako na mazuri
 
Kwahiyo kwasababu alisaidia vijana wengi kuingia kwenye siasa mtandao wake wa kifisadi usizungumziwe!?.., nyie ndo type ya watu 2005 mlikuwa wafuasi wa JK kama mgombea wa CCM kisa handsome. Sometimes waweza kuhisi akili za baadhi ya watanzania zipo matakoni.
Huna haja ya kumpinga. Kasema tumpe haki yake ya kusaidia vijana halafu tumnyonge kutokana na mtandao wa ufisadi wake. Mimi namuunga mkono
 
Huyo mzee ni zungu la roho.
Chuki dhidi yake ni kwa sababu kabarikiwa. Na mti wenye matunda ndo hupopolewa mawe.
Kila mtu ana mabaya na mazuri JK katengeneza vijana wengi sana. Kwenye vijana aliowatengeza kuna wazuri na wabaya ndo points yangu ni mzee Humble sana
 
Kwahiyo kwasababu alisaidia vijana wengi kuingia kwenye siasa mtandao wake wa kifisadi usizungumziwe!?.., nyie ndo type ya watu 2005 mlikuwa wafuasi wa JK kama mgombea wa CCM kisa handsome. Sometimes waweza kuhisi akili za baadhi ya watanzania zipo matakoni.
😀😆😁😄 2005 nilikuwa bado mdogo kujielewa kupiga kura so kuna watu walimpigia kura kikwete kisa handsome
 
Vijana wengi waliingia kwenye siasa kipindi cha huyu mzee JK ameshika mkono vijana wengi. Hata huyu Polepole anayewepa furaha sasa hivi kamtengeneza JK Mnyonge Mnyongeni haki yake Mpeni.
Na yeye katengenezwa na nani? Kwamba kwakuwa katengeneza watu basi ndiyo ASHIRIKI KUUA WENZIWE Kama alivyomua MAGUFULI?
 
Kwahiyo kwasababu alisaidia vijana wengi kuingia kwenye siasa mtandao wake wa kifisadi usizungumziwe!?.., nyie ndo type ya watu 2005 mlikuwa wafuasi wa JK kama mgombea wa CCM kisa handsome. Sometimes waweza kuhisi akili za baadhi ya watanzania zipo matakoni.
😂😂😂😂 Na jamaa wamegundua hyo weakness kitambo sana ingawa sahv kiasi flani watz wameamka
 
Back
Top Bottom