J.k kikwete Bora anakwepa media angekuwa mtu wa media watu wangemsahau magu Kama raisi kwasababu ya Umaarufu.
Etii Nandy kamzidii umaarufu mzee guma aka mzee wa mbochi
J.k kikwete Bora anakwepa media angekuwa mtu wa media watu wangemsahau magu Kama raisi kwasababu ya Umaarufu.
Etii Nandy kamzidii umaarufu mzee guma aka mzee wa mbochi
Acha uongo wewe. Waambie wachukue tahadhari, kuwakataza kwenda hapo ni kujidanganya maana watakutana na wenzao darasani na wengine ni wachumba zao.Mimi wanangu hawatarudi hapo
hii pia ni sehemu ya tahadhariAcha uongo wewe. Waambie wachukue tahadhari, kuwakataza kwenda hapo ni kujidanganya maana watakutana na wenzao darasani na wengine ni wachumba zao.
Unagubu na Jpm mwambie babako aje agombee uwe na baba rais na wewe
Kwa lipi??Hata wakati wa Kikwete ilibidi Mzee mkapa alikuwa anakumbukwa sana
Subirieni Jpm astaafu 2025 mtamkumbuka tu
He was the best democratic president who respected other governmental institutions to perform their duties freely. We miss himHuyu JK apumzike tu.
Alikoifikisha nchi anajua mwenyewe. Binafsi sioni la maana alilolifanya zaidi ya kuwa sukari kwa wapigaji.
Hata wakati wa Kikwete ilibidi Mzee mkapa alikuwa anakumbukwa sana
Subirieni Jpm astaafu 2025 mtamkumbuka tu
Huna mtoto UD weweMimi wanangu hawatarudi hapo