Jakaya kikwete: Likitokea la kutokea Tutawatafuta

Huyu JK apumzike tu.
Alikoifikisha nchi anajua mwenyewe. Binafsi sioni la maana alilolifanya zaidi ya kuwa sukari kwa wapigaji.
Hii ni kumkosea heshima mh. Rais mstaafu yaani hata chuo kikuu cha dodoma huoni,mloganzila hospitali huoni, taasisi ya moyo pale muhimbili huoni,? mimi binafsi namshukuru kwa mengi sana lakini kubwa zaidi kumkata Lowassa mapema ndio kumetupatia Magufuli, sijui ingekuwaje kama bwana yule angepita.
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom