Jakaya kikwete: Likitokea la kutokea Tutawatafuta

Libya

JF-Expert Member
Nov 11, 2016
674
1,000
======
Rais Mstaafu wa Tanzania, Jakaya Kikwete ambaye pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha DSM (UDSM) amefika hosteli za chuo hicho ‘Hostel za Magufuli' kwa ajili ya kukagua mazingira ya Hostel kabla ya kuanza kuwapokea wanafunzi ambao wanatarajiwa kuendelea na masomo yao June 01, 2020.

Ofisi ya Mganga Mkuu wa Serikali imeuhakikishia uongozi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kuwa hosteli za Magufuli ni salama baada ya kutumika kuwahifadhi watu walioingia nchini kutoka nje waliokuwa karibu na wagonjwa wa Covid-19.

Mstaafu Kikwete amesema Serikali imemuhakikishia kuwa Hosteli hizo ambazo zilibadilishwa matumizi na kuwa Karantini kwa Watu wanaotoka nje ya Nchi ikiwa ni hatua ya kupambana na corona, zipo salama tayari kwa matumizi.
 

Inside10

JF-Expert Member
May 20, 2011
21,074
2,000
Atatwnguliwa hv punde mkuu wenzake washafanya sherehe zakuiaga yy anawasiwasi gani?
 

Bia yetu

JF-Expert Member
Apr 14, 2020
4,991
2,000
Hata wakati wa Kikwete ilibidi Mzee mkapa alikuwa anakumbukwa sana

Subirieni Jpm astaafu 2025 mtamkumbuka tu
J.k kikwete Bora anakwepa media angekuwa mtu wa media watu wangemsahau magu Kama raisi kwasababu ya Umaarufu.

Etii Nandy kamzidii umaarufu mzee guma aka mzee wa mbochi
 

Magezi

JF-Expert Member
Oct 26, 2008
3,238
2,000
Huyu JK apumzike tu.
Alikoifikisha nchi anajua mwenyewe. Binafsi sioni la maana alilolifanya zaidi ya kuwa sukari kwa wapigaji.
He was the best democratic president who respected other governmental institutions to perform their duties freely. We miss him
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom