Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,007
- 13,799
Unammiss wewe na nani?He was the best democratic president who respected other governmental institutions to perform their duties freely. We miss him
Unammiss wewe na nani?He was the best democratic president who respected other governmental institutions to perform their duties freely. We miss him
usiogope,mbona mbowe karudi bungeniMimi wanangu hawatarudi hapo
Utasababishwa Nandy apewe kesi ya kutumia madawa very soonJ.k kikwete Bora anakwepa media angekuwa mtu wa media watu wangemsahau magu Kama raisi kwasababu ya Umaarufu.
Etii Nandy kamzidii umaarufu mzee guma aka mzee wa mbochi
Mimi wanangu hawatarudi hapo
Huna mtoto UD wewe
"democratic"? Relatively -YES.He was the best democratic president who respected other governmental institutions to perform their duties freely. We miss him
Kwa hiyo wewe Mataga Baba yako ni Jiwe?Unagubu na Jpm mwambie babako aje agombee uwe na baba rais na wewe
Hivi miaka yote tuko Bavicha tu ?Mara hii unawatoto wamefika chuo? Bavicha mwogopeni Mungu
Hongera sanaMimi wanangu hawatarudi hapo
Kwani umelazimishwa? Kichwa chako kimeshajaa zidumu fikra za DJUbongo wangu hauna nafasi yakuweka kumbukumbu za huyoo mungu mtu wenu.
Magufuli? SahauHata wakati wa Kikwete ilibidi Mzee mkapa alikuwa anakumbukwa sana
Subirieni Jpm astaafu 2025 mtamkumbuka tu
Wkt anaondoka Sukari ilikua Tsh.1800/kilo,vipi nyie mmeifanya sukari imefika Sh ngapi/kilo?Huyu JK apumzike tu.
Alikoifikisha nchi anajua mwenyewe. Binafsi sioni la maana alilolifanya zaidi ya kuwa sukari kwa wapigaji.
Daah jana nimenunua sukari 4000/kg . Hii serikali iwe na huruma sasa.Wkt anaondoka Sukari ilikua Tsh.1800/kilo,vipi nyie mmeifanya sukari imefika Sh ngapi/kilo?
Nyie mmeshakua chumvi kwa wapigaji a.k.a chumvi kwny mboga.
Na wao wanakwambia bei elekezi ni 2800/Kg.Daah jana nimenunua sukari 4000/kg . Hii serikali iwe na huruma sasa.
Una Uhuru wa kusema , ila pengine tutachangia, JK kweli kabsa hakufanya chochote hvyo JPM ndo kaanza yoote kwa upya kweli? Muogope Mungu. Mm naamn alitenda mengi kwa Aina yake ya uongozi. JPM nae anatenda yake kwa style yake japo changamoto zinatofautiana ndug yangu. Kuwa mtu wa kushukuruHuyu JK apumzike tu.
Alikoifikisha nchi anajua mwenyewe. Binafsi sioni la maana alilolifanya zaidi ya kuwa sukari kwa wapigaji.
Bwana mdogo jitahidi kuwa na nidhamu kwa waliokuzidi umri 😡Unagubu na Jpm mwambie babako aje agombee uwe na baba rais na wewe
The last emperor himselfJakaya... The guy always looks happy.
"Za kuambiwa, changanya na zako.... Akili za mbayuwayu"
What's up Mr JK.
-Kaveli-