Jakaya Kikwete kazi ya kulinda tunu ya nchi imemshinda

Jakaya Kikwete kazi ya kulinda tunu ya nchi imemshinda

Mkuu,

Miezi nichache iliyopita, nilikuwa nafanya maongezi na mshua mmoja wa siku nyingi, kwa sasa ni mstaafu, ila kaona mengi tangu enzi za Nyerere, kafanya kazi kwenye serikali za Mwinyi na Mkapa kama presidential appointee, one of the top bureaucrats who headed critical networks.

Nikamuuliza, how did we get here? Mind you hapo mambo hayajaharibika hivi ilikuwa kuhusu kuuza bandari na nchi kukosa uongozi.

Akaniambia kuna theory moja ya uongozi ya kwamba, matatizo makubwa yanapotokea katika system, usiangalie hayo matatizo makubwa yalipotokea tu kwa sababu hayo matatizo ni matokeo ya matatizo mengine madogo madogo mengi sana yaliyotokea kwa siku nyingi bila kufanyiwa maintenance.

Tumezembea sana. Lile zoezi endelevu la nation building, kujenga umoja wa kitaifa, ile ni kazi ya siku zote inayohitaji akili kubwa kuifanya na kuushirikisha umma, sisi tunaona tuliimaliza enzi za Nyerere na Mwinyi.

Mara nyingine huwa nasikikiza zile hotuba za Nyerere za zamani zile, naona huyu mzee hata kama ana matatizo mengi sana, hajatupa katiba nzuri etc, kuna vitu fulani vya msingi akivisema watu wamevidharau sas ahivi vinatu cost. Kuna hotuba yake ya kuhusu viongozi wanavyotakiwa kuongiza kwa kusikikiza wananchi, kwa kutokuwa waroho wa mali na madaraka, kaongea mengi sana ambayo viongozi wetu wangeyafuata tusingekuwa hapa. Tatizo la viongozi wetu wanamtajataja Nyerere lakini misingi ua akichosema hawafuati. Of course hakuoatia kika kitu kuna mambo ya Ujamaa ali mess, lakini mambo ya ethics ,a uongozi na utu alisema mengi sana ya msingi, na si kusema tu, aliishi, ambayo viongizi wa sasa wameyatupikia mbali.

Back to nation building, building national unity.

Sasa hivi hatukuwa tunafanya hiyo kazi. Hatufanyi. Hakuna maintenance. Udini na ukabila unazidi. Mambo ya kijingajinga tu yana corrode fabric of our nationhood. Kibaya zaidi, kuna kama self sabotage kwa viongozi sijui ni ujinga, ukimbukeni au kitu gani.

Yani hata sehemu ambayo wangeweza kuiba na kula kwa siri na kusaidia watu, wao wanaiba na kuringishia mambo wazi mpaka wasio na macho wanaona wanaibiwa.

Ule ujinga wa ma Folls Royce na ma Bentley ya kina Abdul ni wa nini? Why?

Zamani kulikuwa na aina fulani ya grooming ili viongozi wasipande ngazi wakiwa wajinga. Mimi kwenye familia kuna picha uncle mmoja alikuwa anafanya kazi Ikulu alikuwa anamsindikiza Mkapa kwenda Columbia in the 1960s. Mkapa alikuwa groomed miaka mingi tu. Columbia, editing government newspapers, Foreign Service as a diplomat, a minister, kaja kuwa rais kaiva. Granted alikuwa na natatizo yake, lakini Mkapa kamsema Tony Blair CHOGM ya 2001 mpaka Tony Blair akamchukua kufanya naye kazi. Mkapa kaenda BBC kabishana na Tim Sebastian kwenye Hardtalk unasema huyu jamaa hayuko right muda wote lakini anajua anataka nini, anaweza kusimama kwenye world stage akaongea kama rais wa nchi.

Samia anaweza kuongea kama rais wa nchi?

Alioewa kazi ya kuwakikisha Africa katika one of theae COP meetings, aibu niliona mimi. Yani kashindwa kufanya lolote la maana kwenye mkutano halafu mpaka kwenye oress conference alivuorudi wame bury the lead. What was supposed to be a hedline was buried by Zuhura in the fifth oage if tge release, and mentioned in one sentence.

Moaka mtu unafikiri, is there sone kind if conspiracy going on here?

Au wamempa nchi mama muimba taarab za mipasho hajui cha kufanya. Kajaza wazenj washauri nao wanakula urojo tu.

Sasa hawa kina Kikwete, Magufuli na Samia wamekuwa groomed wapi? Lini? Wanajua wanasimamaia falsafa gani? Wanajua geopolitics? Wanajua intwrnational espionage? Wanajua the singukarity is coming? Wanajua the 3% bomb? Wanajua water wars? Wanajua chio wars?

There is no grooming anymore. Wanapandishana kwa kujuana tu.

That is how you end up with an idiot like Samia being a president and a needless massacre of her own people.

She does not even understand that that was against her own interest. She is a third grade Project Manager for divwlersity quota Zanzibari UN projects who networked her way up the food chain with neither the requisite intellect nor the fitting gravitas.

So she is out of her depth. She knows it, her inferiority complex goes off the charts. That is a dangerous position for a head of state to be in, especially one as powerful as ours by constitufional and other presidential instruments.

Enough about Samia, she is the results of a long rotting system.

But how did we end with that? Progressive malfeasance and lack of accountability.

When Kikwete was president, one day I was visiting some Tanzanian friends of mine in Jersey City, right by New York City. We were roasting Kikwete, how incompetent he was. One guy said surely we have seen the worst, no president could possibly do worse than Kikwete. I told him if I was a betting man I would bet you my monthly salary that we will surely get a worse president than Kikwete.

We went on and got Magufuli, he set some records, and as if Magufuli was not enough, we have seen what we now see as rock bottom.

The trouble is each president establishes a new low for the next one to start with, as the new normal. By the time the next president finishes, the new nilormal is even lower. That is how Samia is killing more than Magufuli in a way we thought would never be possible. Samia is making the Pemba killing under Mkapa look like a Sunday picnic for young mothers and kindergarten children.

So much to say, but I am getting back to my Fanon now.
Sehemu ya matatizo ambayo hayakufanyiwa kazi na Nyerere ambayo yanachangia kututafuna mpaka Leo ni katiba na muundo wa muungano. Pia suala la kuua mfumo vyama vingi mwaka 1967 ulikuwa uamuzi mbaya sana kwa sababu sasa hivi CCM imechoka na kuchokwa lakini upinzani haujaweza ku mobilize watu kimkakati kuiondoa madarakani.
 
JK had the best opportunity of being the best president na great statesman wa Tanzania kwa sasa
Amefanya kazi na marais wote wa 5, Nyerere kidogo akiwa askari na CCM, Mwinyi na Mkapa kama Waziri na Magufuli na Samia kama Rais wao
Anawafahamu viongozi wote hao na ndani ya Jeshi pia amefanya kazi na wakuu karibu wote hao wa sasa na zamani na wanamfahamu nae anawafahamu zaidi
Kila kinachoendelea jeshini anakijua kupitia ADC wake wa zamani ambaye kwa sasa ndiye Chief of Militayr Intelligence, Mkeremy na team yake ya wana mtandao
Gen Waitara alishindwa kufanya nae kazi akijua hakuwa competent tangu akiwa jeshini mpaka alipokimbizwa na Sayore kutoka Monduli
Amefanya kazi kama Foreign Minister 1995-2005 na kuwa exposed sana kimataifa wakati wa geopolitics zilipobadilika na kui shape dunia ya sasa kwa mambo mengi kama vita vya Balkans, Iraq, Vita vya Ugaidi baada ya Sept 11, Genocide ya Rwanda na FInancial Crises za Asia na mijadala mikubwa akishirki UNGA kipindi hicho na amekutana na viongozi wengi sana duniani na kutembea kujifunza kwao na bado anapata mialiko ya kwenda kwenye forums za kimataifa kuzungumza au ku participate
Lakini inaonekana kwake ni photo ops za kukutana na watu maarfu ili ajaaze picha nyumbani na zingine za kina Rihanna akizidai mpaka leo!
CCM yote anai control yeye na hata kwenye Jeshi na Zanzibar ana influence kubwa sana kwa marais waliotangulia kina Karume, Shein na huyu Mwinyi wa sasa
Tatizo ameendekeza sana uswahili na petty politics za CCM badala ya kuangalia zaidi utaifa yeye anaangali nani awe diwani na katibu kata wapi na ubinafsi na kuendekeza tamaa za kijinga sana
Hapo alipo ana utajiri wa mpaka watoto wa wajukuu zake ambao hawajazaliwa
Kipindi kama hiki angeweza kusimama ma kuzungumza watu wangemsikiliza na tusingefika huku tulipo
Watu kama kina Warioba na bahati mbaya Salim Ahmed Salin hana afya nzuri kwa sasa ndio pelee ambao wangeweza kuzungumza na wanachi wakawasikiliza
Mtu kama Dk Bilal kwa figisu alizofanyiwa na JK na mtandao wake licha ya kuwa alikuwa VP hana hamu naye kabisa
Aliutaka sana uRais lakini hakujiandaa kuwa kiongozi na mpaka anaondoka ameshusha bar ya urais kiasi hata alipotoka kila mtu wa CCM alijiona anafaa kuwa Rais matokeo yake ndiyo hao ambao kila mtu anataka kuchukua form
We have seen the worst of his successors kwa JPM na huyu mama amabye ni mapendekezo yake awe VP wa JPM badala ya Dk Mwinyi ambaye JPM alimtaka
Ikifika 2030 kutakuwa na vioja sana kwa wachukua forms za uRais hasa CCM
 
Hizo akili na weledi anao kwa muda mrefu tu.

Kitendawili ni vipi kaachana principles ambazo zilikuwa zimam-define on his leadership qualities.

My conclusion ni mental case.
..hivyo vyote unavyovitaja JK hana, hutarajii mtu wa hadhi na nafasi alizopitia anaongelea familia yake! kitu kimoja lbd ndio anacho..ana bahati wanajimu wanaita nyota.
 
JK ni mwanadiplomasia mzuri lakini kashidwa kutumia diplomasia yake nchini hiyo hiyo kulinda maslahi yake Utafikiri sio huyu Kikwete aliyemwambia Kagame akae na wapinzani wake akiwa AU huyu wa sasa JK akikutana na JK yule watauana
 
JK ni brand ambassador waTanzania aliebaki kwa maraisi; waliolinda amani ya nchi kama walivyoipokea kutoka kwa watangulizi wake.

Uzuri zaidi yeye ameona hiyo misingi ya usalama wa Tanzania kwa sababu ni mmoja wa viongozi wachache waliobaki leo wanaoijua Tanzania ya jana na mwenye ushuhuda wa kufanya kazi na viongozi waliomuchia nchi yenye amani na usalama.

Sidhani kama analijua hilo, ana majukumu makubwa kuliko Samia kwa brand Tanzania.

As brand ambassador utakiwi kuambatanishwa na haya mambo.

Huyu jamaa, alikorongoka wapi kama kada wa malezi ya CCM na mwanajeshi.

Ndio maana conclusion yangu, ni mental health issues; it doesn’t make sense.

Vinginevyo JK leo alitakiwa kuwa last of defence ya brand Tanzania; sio kunasabishwa na uharibifu wa nchi.

What a pity
Money whiff, greedy & temptations
 
Back
Top Bottom