Kwa sasa Tanzania hakuna mtu mwenye jukumu la kuilinda Tanzania kama ‘Jakaya Kikwete’ ndio supremo wa mfano.
Wengine ni retired security officers, yaani previous CDF, DGIS, IGP’s, Magereza na uhamiaji.
Hawa watu wanajukumu la kuhakikisha Tanzania inabaki kama walivyoikuta na wengine mbele yao hawa iharibu; walau kwa mbinu zao wazuie.
Kuna watu wengi sana wa kulaumu kwa hapa tulipo, top of the list ni Jakaya Kikwete kwa kusaliti majukumu yake.
Bila ya kuwaacha, maafisa usalama wastaafu kama walivyotajwa huko juu,
How did we stoop this low as a benchmarking standard in Africa, when it comes to democracy.
Why? Jakaya Kikwete, uwe sehemu ya huu ushirika wa kuharibu nchi wakati huu unatakiwa kuwa mlinzi wa nchi na CCM.
Mkuu,
Miezi michache iliyopita, nilikuwa nafanya maongezi na mshua mmoja wa siku nyingi, kwa sasa ni mstaafu, ila kaona mengi tangu enzi za Nyerere, kafanya kazi kwenye serikali za Mwinyi na Mkapa kama presidential appointee, one of the top bureaucrats who headed critical networks.
Nikamuuliza, how did we get here? Mind you hapo mambo hayajaharibika hivi ilikuwa kuhusu kuuza bandari na nchi kukosa uongozi.
Akaniambia kuna theory moja ya uongozi ya kwamba, matatizo makubwa yanapotokea katika system, usiangalie hayo matatizo makubwa yalipotokea tu kwa sababu hayo matatizo ni matokeo ya matatizo mengine madogo madogo mengi sana yaliyotokea kwa siku nyingi bila kufanyiwa maintenance.
Tumezembea sana. Lile zoezi endelevu la nation building, kujenga umoja wa kitaifa, ile ni kazi ya siku zote inayohitaji akili kubwa kuifanya na kuushirikisha umma, sisi tunaona tuliimaliza enzi za Nyerere na Mwinyi.
Mara nyingine huwa nasikiliza zile hotuba za Nyerere za zamani zile, naona huyu mzee hata kama ana matatizo mengi sana, hajatupa katiba nzuri etc, kuna vitu fulani vya msingi alivisema watu wamevidharau sasa hivi vinatu cost. Kuna hotuba yake ya kuhusu viongozi wanavyotakiwa kuongoza kwa kusikiliza wananchi, kwa kutokuwa waroho wa mali na madaraka, kaongea mengi sana ambayo viongozi wetu wangeyafuata tusingekuwa hapa. Tatizo la viongozi wetu wanamtajataja Nyerere lakini misingi ua alichosema hawafuati. Of course hakupatia kila kitu kuna mambo ya Ujamaa ali mess, lakini mambo ya ethics za uongozi na utu alisema mengi sana ya msingi, na si kusema tu, aliishi, ambayo viongizi wa sasa wameyatupikia mbali.
Back to nation building, building national unity.
Sasa hivi hatukuwa tunafanya hiyo kazi. Hatufanyi. Hakuna maintenance. Udini na ukabila unazidi. Mambo ya kijingajinga tu yana corrode fabric of our nationhood. Kibaya zaidi, kuna kama self sabotage kwa viongozi sijui ni ujinga, ukimbukeni au kitu gani.
Yani hata sehemu ambayo wangeweza kuiba na kula kwa siri na kusaidia watu, wao wanaiba na kuringishia mambo wazi mpaka wasio na macho wanaona wanaibiwa.
Ule ujinga wa ma Rolls Royce na ma Bentley ya kina Abdul ni wa nini? Why?
Zamani kulikuwa na aina fulani ya grooming ili viongozi wasipande ngazi wakiwa wajinga. Mimi kwenye familia kuna picha uncle mmoja alikuwa anafanya kazi Ikulu alikuwa anamsindikiza Mkapa kwenda Columbia in the 1960s. Mkapa alikuwa groomed miaka mingi tu. Columbia, editing government newspapers, Foreign Service as a diplomat, a minister, kaja kuwa rais kaiva. Granted alikuwa na natatizo yake, lakini Mkapa kamsema Tony Blair CHOGM ya 2001 mpaka Tony Blair akamchukua kufanya naye kazi. Mkapa kaenda BBC kabishana na Tim Sebastian kwenye Hardtalk unasema huyu jamaa hayuko right muda wote lakini anajua anataka nini, anaweza kusimama kwenye world stage akaongea kama rais wa nchi.
Samia anaweza kuongea kama rais wa nchi?
Alipewa kazi ya kuwakilisha Africa katika one of these COP meetings, aibu niliona mimi. Yani kashindwa kufanya lolote la maana kwenye mkutano halafu mpaka kwenye oress conference alivuorudi wame bury the lead. What was supposed to be a hedline was buried by Zuhura in the fifth oage if tge release, and mentioned in one sentence.
Mpaka mtu unafikiri, is there sone kind of conspiracy going on here?
Au wamempa nchi mama muimba taarab za mipasho hajui cha kufanya. Kajaza wazenj washauri nao wanakula urojo tu.
Sasa hawa kina Kikwete, Magufuli na Samia wamekuwa groomed wapi? Lini? Wanajua wanasimamaia falsafa gani? Wanajua geopolitics? Wanajua intwrnational espionage? Wanajua the singukarity is coming? Wanajua the 3% bomb? Wanajua water wars? Wanajua chip wars?
There is no grooming anymore. Wanapandishana kwa kujuana tu.
That is how you end up with an idiot like Samia being a president and a needless massacre of her own people.
She does not even understand that that was against her own interest. She is a third grade Project Manager for diversity quota Zanzibari UN projects who networked her way up the food chain with neither the requisite intellect nor the fitting gravitas.
So she is out of her depth. She knows it, her inferiority complex goes off the charts. That is a dangerous position for a head of state to be in, especially one as powerful as ours by constitufional and other presidential instruments.
Enough about Samia, she is the results of a long rotting system.
But how did we end with that? Progressive malfeasance and lack of accountability.
When Kikwete was president, one day I was visiting some Tanzanian friends of mine in Jersey City, right by New York City. We were roasting Kikwete, how incompetent he was. One guy said surely we have seen the worst, no president could possibly do worse than Kikwete. I told him if I was a betting man I would bet you my monthly salary that we will surely get a worse president than Kikwete.
We went on and got Magufuli, he set some records, and as if Magufuli was not enough, we have seen what we now see as rock bottom.
The trouble is each president establishes a new low for the next one to start with, as the new normal. By the time the next president finishes, the new nilormal is even lower. That is how Samia is killing more than Magufuli in a way we thought would never be possible. Samia is making the Pemba killing under Mkapa look like a Sunday picnic for young mothers and kindergarten children.
So much to say, but I am getting back to my Fanon now.