Jaji Warioba na tume yake kushitakiwa

Jaji Warioba na tume yake kushitakiwa

Kwa hiyo katiba ndo ilipiga kura kumchagua Kikwete?

kura zilipigwa kwa mujibu wa katiba. Lakini katiba haipatikani kwa mujibu wa raisi ama mtu yeyote ndo maana hata raisi ameshindwa kulivunja bunge la katiba. Hahaha acha kunienjoy mkuu!
 
Hata mm hapa kijijini kwetu hakufika alifanya kwa ubaguzi Sana
nyie ni viazi kweli! kama mlikuwa mnajua hilo mapema mngeenda kushitaki kabla hamjaivunja tume yenyewe! kimbieni mkashtaki mafail
 
wewe nawe ni zuzu,jk mwenyewe cku anapokea rasimu ya kwanza alisema,ni vigumu kufika ktk kila kijiji,tz kuna vijiji 14,000,kama tukisema tufikie kila kijiji,itatuchukua miaka zaid ya kumi kufanya hivyo..........hoja ni kwamba mambo wanayoitaji watu wa kijiji chako ni sawa na mahitaj ya wanakijiji wa ikwiriri.TAFAKARI NA CHUKUA HATUA
 
Sheria ya tume ya warioba na ya uchaguzi ni tofauti.Anyway mimi nilikuwa nadhani issue kubwa kwa hao wana kijiji si kwenda mahakani issue yao kubwa ni maoni yao.Kuzchukuliwa na kuwa sehemu ya mchakato unaoendelea wa katiba.Nadhani wafikishe tu maoni bunge linaloendelea.Wasipoteze pesa kuwalipa mawakili ubwabwa bure.Nafasi ya maoni yao kufika bado ipo.

ushauri umezingatiwa mkuu.
 
wewe nawe ni zuzu,jk mwenyewe cku anapokea rasimu ya kwanza alisema,ni vigumu kufika ktk kila kijiji,tz kuna vijiji 14,000,kama tukisema tufikie kila kijiji,itatuchukua miaka zaid ya kumi kufanya hivyo..........hoja ni kwamba mambo wanayoitaji watu wa kijiji chako ni sawa na mahitaj ya wanakijiji wa ikwiriri.TAFAKARI NA CHUKUA HATUA

uwongo, ikwiriri si sawa na letto!
 
Hawajachelewa bado mwenyekiti wa BMK anapokea maoni wamwalike tu juzi kapokea maoni ya wakulima wa pamba
 
mkuu nazungumzia kata yenye zaidi ya watu laki. Ilikuwa haki yao kufikiwa na tume. Kusema maoni ni ya watanzania wakati hawakufikiwa ina maana wao ni wakenya?

Acha euongo rombo hakuna kata yenye watu laki mbili. Infact kuendana na sensa ya watu na makazi hakuna hata kata moja inayofikia watu 30 elfu wilaya ya rombo na wilaya nzima ina just over 260,000 people.
 
unaijua rombo wewe? Unajua kutofautisha kaya na familia? Nazungumzia watu, siyo kaya. Ukoo wetu wenyewe una zaidi ya watu elfu.
 
unaijua rombo wewe? Unajua kutofautisha kaya na familia? Nazungumzia watu, siyo kaya. Ukoo wetu wenyewe una zaidi ya watu elfu.

JK alichaguliwa kuwa rais wa tz na wapiga kura milioni 5 tu. Je huo ni uwiano sawa! kwamba JKIKWETE ni rais wa watz milioni 40?
 
JK alichaguliwa kuwa rais wa tz na wapiga kura milioni 5 tu. Je huo ni uwiano sawa! kwamba JKIKWETE ni rais wa watz milioni 40?

ulitaka achaguliwe na watu wangapi? Kwanini? Kuna kata ambayo masanduku ya kura hayakupelekwa?
 
....Wanafikiria kuishitaki tume na Jaji Warioba mahakamani kwa ubaguzi huo.

Warogwa hao...

Kabisaaaaaa.

Rais alivunja rasmi Tume tarehe 19 Machi, 2014 kwa Tangazo la Serikali Na. 81 la tarehe 21 Machi, 2014.

Sasa hao wanaofikiria kuishtaki Tume wataishtakije wakati haipo tena?
 
Wananchi wa Kijiji cha Letto Wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro wanadai hawakuwahi kuiona Tume ya kukusanya maoni ya katiba katika kijiji chao na kata yao.

Maswali waliyojiuliza:
1. Wao siyo Watanzania?
2. Kwanini tume haikuyafuata maoni yao?
3. Wamedharauliwa ama wamebaguliwa?

Wanafikiria kumshitaki Jaji Warioba na Tume yake mahakamani kwa kuwabagua kuchukua maoni yao ya rasimu ya katiba.

Tume ilifanya wastani wa mikutano 12 kila wilaya. Wilaya yenu ina vijiji vingapi kikiwemo chakwenu?

Hopeless kabisa hao wanakijiji wa Rombo.
 
Wananchi wa Kijiji cha Letto Wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro wanadai hawakuwahi kuiona Tume ya kukusanya maoni ya katiba katika kijiji chao na kata yao.

Maswali waliyojiuliza:
1. Wao siyo Watanzania?
2. Kwanini tume haikuyafuata maoni yao?
3. Wamedharauliwa ama wamebaguliwa?

Wanafikiria kumshitaki Jaji Warioba na Tume yake mahakamani kwa kuwabagua kuchukua maoni yao ya rasimu ya katiba.
Rombo ipo kenya
 
unaijua rombo wewe? Unajua kutofautisha kaya na familia? Nazungumzia watu, siyo kaya. Ukoo wetu wenyewe una zaidi ya watu elfu.
Acha ujinga wewe! nimetoa takwimu za watu zilizotolewa ktk ripoti ya sensa ya juzi. Si idaidi ya kaya bali mtut mmojammoja. Rombo ina watu, sio kaya aua familia, 260,000. inawezekanaje kijiji kimoja kiwe na watu 200000. Acha upuuzi wewe! Nenda shule. Rombo ni nyumbani kwangu.
 
Wanakijiji wapo sahihi usiwatishe eti katiba ingechukua miaka kumi, wache waseme
 
Wakazi wa Kijiji cha Letto kilichopo Wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro, wamedai kuwa hawakuwahi kuiona Tume ya kukusanya maoni ya katiba mpya kwenye kijiji chao na kata yao.
Wanajiuliza je wao siyo wananchi wa Tanzania? Kwanini wabaguliwe na tume hiyo iliyopo kisheria? Wanafikiria kuishitaki tume na Jaji Warioba mahakamani kwa ubaguzi huo.
Kwanza watwambie Mkapa pamoja na kuoa Kilimanjaro alishawahi kufika katika kijijin hicho? JK anaelekea kumaliza muda wake, je alisha fika katika kijiji nhicho? Kama sivyo watawashitaki kwa kuwabagua. Kwa taarifa yao si Nyerere, Mwinyi, Mkapa wala Jk waliwahi hata kutembelea vijiji vyote katika wilaya na mikoa wanakotoka! Sembuse nchi?
 
Back
Top Bottom