Wananchi wa Kijiji cha Letto Wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro wanadai hawakuwahi kuiona Tume ya kukusanya maoni ya katiba katika kijiji chao na kata yao.
Maswali waliyojiuliza:
1. Wao siyo Watanzania?
2. Kwanini tume haikuyafuata maoni yao?
3. Wamedharauliwa ama wamebaguliwa?
Wanafikiria kumshitaki Jaji Warioba na Tume yake mahakamani kwa kuwabagua kuchukua maoni yao ya rasimu ya katiba.
Safi sana