Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Tundu Lissu naweza kusema ni mtu mzuri Sana katika maswala ya sheria ndio maana aliweza kuwaongoza mawakili wenzake kama Rais wa (TLS) na kufanikiwa vizuri
Ujue hakuna kitu kigumu kama kuongoza wasomi, lakini kijana uyu alifakiwa kuwaongoza mawakili wenzie kwa mafanikio makubwa, lakini kuhusu kutaka kuwania urais
Wa nchi, sio mtu Mbaya huyu kijana ila kama taifa tujiandae kufuata KATIBA na sheria kiukamilifu sio viongozi wala Raia wa kawaida maana Lissu ni mtu anae ijua sheria vizuri pamoja na KATIBA
Kwaiyo kama ita tokea kijana huyu siku kuwa Rais wa nchi hii tutegemee KATIBA na sheria kuheshimiwa zaidi apa nchini
MH JAJI WALIOBA
#2020Mwagapombe