Jaji Warioba: Lissu ni kijana mzuri anayeijua sheria. Siku akiwa Rais tutarajie sheria na Katiba kufuatwa kwa uhakika zaidi

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Tundu Lissu naweza kusema ni mtu mzuri Sana katika maswala ya sheria ndio maana aliweza kuwaongoza mawakili wenzake kama Rais wa (TLS) na kufanikiwa vizuri

Ujue hakuna kitu kigumu kama kuongoza wasomi, lakini kijana uyu alifakiwa kuwaongoza mawakili wenzie kwa mafanikio makubwa, lakini kuhusu kutaka kuwania urais

Wa nchi, sio mtu Mbaya huyu kijana ila kama taifa tujiandae kufuata KATIBA na sheria kiukamilifu sio viongozi wala Raia wa kawaida maana Lissu ni mtu anae ijua sheria vizuri pamoja na KATIBA

Kwaiyo kama ita tokea kijana huyu siku kuwa Rais wa nchi hii tutegemee KATIBA na sheria kuheshimiwa zaidi apa nchini
MH JAJI WALIOBA

#2020Mwagapombe
 
Stori umeitunga ukiwa uwani hapo ufipa alafu unakuja kusema ni ya Warioba?

Hata hivyo Lisu yuko zake anapiga soga na wazungu na kasema harusi leo wala kesho.

Lisu kaona hawezi kurudi kuendelea ku entertain uhuni unaoendelea hapo ufipa wa kukanyaga katiba ya chama.
 
Tunakuchora tu na story zako za kutungia ufipa, nenda katunge tena hii imebumburuka!
 
Lissu ni level nyingine, huwezi kumsikia hata siku moja anazungumza mambo ya kijinga kama zaeni watoto wengi, wanawake wazuri walinichelewesha, au nampenda huyu waziri wako wa mambo ya nje kutoka au .........😀😀😀😀😀😀😀
 
Ndo shida ya kufanikiwa maishani kwa kubebwa logic hamna kabisa, Tundu Lisu ni Mwanasheria mkuu wa chadema, mbona chadema inavunja Katiba yake yenyewe kila siku?
 
Tundu Lissu naweza kusema ni mtu mzuri Sana katika maswala ya sheria ndio maana aliweza kuwaongoza mawakili wenzake kama Rais wa (TLS) na kufanikiwa vizuri

Ujue hakuna kitu kigumu kama kuongoza wasomi, lakini kijana uyu alifakiwa kuwaongoza mawakili wenzie kwa mafanikio makubwa, lakini kuhusu kutaka kuwania urais

Wa nchi, sio mtu Mbaya huyu kijana ila kama taifa tujiandae kufuata KATIBA na sheria kiukamilifu sio viongozi wala Raia wa kawaida maana Lissu ni mtu anae ijua sheria vizuri pamoja na KATIBA

Kwaiyo kama ita tokea kijana huyu siku kuwa Rais wa nchi hii tutegemee KATIBA na sheria kuheshimiwa zaidi apa nchini
MH JAJI WALIOBA

#2020Mwagapombe
Noted with thanks...
 
Watu hawajui matumizi ya alama hii :
Stori umeitunga ukiwa uwani hapo ufipa alafu unakuja kusema ni ya Warioba?

Hata hivyo Lisu yuko zake anapiga soga na wazungu na kasema harusi leo wala kesho.

Lisu kaona hawezi kurudi kuendelea ku entertain uhuni unaoendelea hapo ufipa wa kukanyaga katiba ya chama.
 
Stori umeitunga ukiwa uwani hapo ufipa alafu unakuja kusema ni ya Warioba?

Hata hivyo Lisu yuko zake anapiga soga na wazungu na kasema harusi leo wala kesho.

Lisu kaona hawezi kurudi kuendelea ku entertain uhuni unaoendelea hapo ufipa wa kukanyaga katiba ya chama.
Ila hata kama ameitunga aliyosema ni kweli kabisa kuhusu Lisu. Labda hilo ndilo tunpaswa kuangalia, sio kama ni kweli Warioba kasema haya au la. Acha suala la kukanusha liwe la Warioba mwenyewe
 
Stori umeitunga ukiwa uwani hapo ufipa alafu unakuja kusema ni ya Warioba?

Hata hivyo Lisu yuko zake anapiga soga na wazungu na kasema harusi leo wala kesho.

Lisu kaona hawezi kurudi kuendelea ku entertain uhuni unaoendelea hapo ufipa wa kukanyaga katiba ya chama.

Jiwe ndio tatizo usitake kupotosha.
 
Back
Top Bottom