Jaji Warioba: Lissu ni kijana mzuri anayeijua sheria. Siku akiwa Rais tutarajie sheria na Katiba kufuatwa kwa uhakika zaidi

Ndo shida ya kufanikiwa maishani kwa kubebwa logic hamna kabisa, Tundu Lisu ni Mwanasheria mkuu wa chadema, mbona chadema inavunja Katiba yake yenyewe kila siku?

Hakuna watu wanategemea kubebwa kama wanaccm, rejea wazee wa mbeleko walivyojiaibisha, Nape, January na Ngeleja.
 
Huyo anayewaita wapinzani wake maccm!! Huyo ambaye ukitofautiana nae kimsimamo anakuchukia kama ilivyo kwa zitto kabwe na dr silaa.
 
Mhhh! Mzee warioba haogopi kupewa kesi ya uhujumu uchumi?
Wazee wastaafu wamechafukwa ni bora wawe magerezani na raia wajue hivyo kuliko hili la sasa walilowekwa yaani ni marufuku kusikika ukimsahihisha Bw Yule kwa manufaa ya waliowengi. Wazee hawa hawako tayari kuimba zile nyimbo za kusifu na kuabudu.
 
Lissu ni mwanaharakati mzuri sana na mwenye kiu ya kuona sheria zinafuatwa na watu wanapata haki zao. Sioni kama ni mwanasiasa

Kwa maoni yangu, nafasi ya urais kwake ni kubwa mno. Urais unahitaji kichwa kilichotulia sana kinachoweza kuchuja mambo na kuyatafakari kwa kina bila kuwa na mihemko wala hasira.

Nimewatazama wanasiasa wa upinzani kwa muda mrefu,mwanasiasa pekee wa upinzani anayeweza kuwa rais mzuri sana ni James Mbatia.

Tundu Lissu naweza kusema ni mtu mzuri Sana katika maswala ya sheria ndio maana aliweza kuwaongoza mawakili wenzake kama Rais wa (TLS) na kufanikiwa vizuri

Ujue hakuna kitu kigumu kama kuongoza wasomi, lakini kijana uyu alifakiwa kuwaongoza mawakili wenzie kwa mafanikio makubwa, lakini kuhusu kutaka kuwania urais

Wa nchi, sio mtu Mbaya huyu kijana ila kama taifa tujiandae kufuata KATIBA na sheria kiukamilifu sio viongozi wala Raia wa kawaida maana Lissu ni mtu anae ijua sheria vizuri pamoja na KATIBA

Kwaiyo kama ita tokea kijana huyu siku kuwa Rais wa nchi hii tutegemee KATIBA na sheria kuheshimiwa zaidi apa nchini
MH JAJI WALIOBA

#2020Mwagapombe
Lissu The Greatest
 
Mwaga pombeeee!

Na afweeeeee kabisa!
 
Lissu ni mwanaharakati mzuri sana na mwenye kiu ya kuona sheria zinafuatwa na watu wanapata haki zao. Sioni kama ni mwanasiasa

Kwa maoni yangu, nafasi ya urais kwake ni kubwa mno. Urais unahitaji kichwa kilichotulia sana kinachoweza kuchuja mambo na kuyatafakari kwa kina bila kuwa na mihemko wala hasira.

Nimewatazama wanasiasa wa upinzani kwa muda mrefu,mwanasiasa pekee wa upinzani anayeweza kuwa rais mzuri sana ni James Mbatia.

Kabisa!
Mbatia namuelewa sana. Ni presidential material yule.
 
Back
Top Bottom