Huyu kiumbe anaongea nini?- Hayo maneno ya kutishia nyau watuwazima, CCM tumeshaamua tutaisimamia katiba kama Sheria inavyosema, Warioba na Chadema poleni sana, siku zote huwa mko on the wrong side na on the wrong timing, unawezaje kudai katiba mpya na huku unajua huna majority wala hata close to it, soma historia za Dunia za kubadilisha katiba uone kama kuna taifa hata moja Duniani limewahi kubadili katiba huku likiwa na majority kubwa kama CCM, poleni sana huko hamna political startegists wazuri, mnatia ibu sana!1
Le Mutuz
- Hatuwezi kuongelea Rasimu wakati tayari imeshakuwa muswaada, alichosema Bulembo ni sawa sawa kwamba Warioba hakuteuliwa kuwaamulia wananchi maoni ya katiba na wala hakuambiwa kuwaelemisha maana katiba, alichotakiwa ni kukusanya tu maoni yao, Warioba kama mwananchi wa Tanzania anayo haki ya kutoa maoni yake kuhusu katiba lakini hawezi kuyatoa akiwa ndani ya tume ni mpaka ajiuzulu kwanza, ndicho alichoambiwa na Bulembo na hakuna cha ajabu hapo wala utata.
- Narudia tena Warioba, ajiuzulu sasa kazi yake ya kamati ili awe Raia huru kama wengine wote ndio atoe maoni yake kuhusu KAtiba, hatuwezi kujadili Rasimu sasa maana tayari Rasimu ipo Bungeni inasubiri saini ya Rais twende kwa mbele.
Le Mutuz
Kujadiliana na wewe ni kupoteza raslimali mda tu- Ukweli ni kwamba Warioba hana mamlaka kisheria kuandika katiba mpya na wala Chadema.
Le Mutuz
Huyu kiumbe anaongea nini?
Mungu wangu! Kilichomfanya mwenyekiti wako kuanzisha mchakato wa katiba ni nini hasa? Kumbe kweli maccm yanailaani sana ile siku kikwete aliota swala la latiba mpya.
Rasimu iko Bungeni?acha mambo yako...cyo lazima na hili ww usemee
- MWENYEKITI WA JMUIYA YA WAZAZI/CCM TAIFA; MJUMBE WA KAMATI KUU YA CCM; MJUMBE WA NEC.
Labda nikuulize Warioba ni nani eti?
Le Mutuz
Tz sio ya warioba, wala yy hana mamlaka ya kuwasemea watz.
We sidhani kama zinakutosha kichwani.Kichwa kikubwa lakini hakina kitu.Mzee Malecela kala hasara nahisi anamkumbuka yule mtoto wake aliyepoteza maisha kwakweli alikuwa anafuata nyayo za mzee Malecela lakini huyu....Sijui mzee Malecela alibambikiwa huyu mtoto!!
Warioba hatoshi.
Baadhi ya Wabunge wa CCM ndio waliopitisha hiyo rasimu kwa ukihiyo wao,usipotoshe watu hapa...- tunaishi kwa Sheria sio kanuni, Sheria ipo wazi Warioba hana mamalaka ya kuwaamulia wananchi Katiba, ila anayo mamalaka ya kukusanya maoni yao na kuyaandika chini, Warioba hana mamlaka yoyote kikattiba ya kuwaambia eti Viongozi wa Saisa wakae chini kujadili tena Rasimu, Rasimu imeshaenda Bungeni imepitishwa na Wabunge wa Chadema na CCM, sasa inasubiri saini ya Rais iwe Muswaada na kujadiliwa na Wabunge,
- Labda nikukumbushe historia kidogo, kule USA ni Republicans ndio walioamua kupunguza mafao ya Marais wao kwa sababu ya wingi wao bungeni, na ni wao ndio walioamua kupunguza malipo ya welfare ya wananchi wao bila kujali uchache wa Democrats bungeni kwa sababu Sheria inasema ni majority ndio wenye uamuzi wa mwisho wa marekebisho ya sheria, CCM ndio wenye mamlaka ya mwisho kisheria ya jamhuri kuamua katiba mpya iweje sio Warioba na Chadema.
Le Mutuz
- ha! ha! ha1 ha! najibu mapigo yenu yasiyo na tija, tafuteni historia ni wapi duaniani KAtiba iliwahi kubadilishwa na chama minority bungeni! poleni sana
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!!
lE mUTUZ
- Sheria inasema CCM ndio yenye uamuzi wa mwisho juu ya marekebisho ya katiba mpya sio Warioba wala Chadema au muungano wa Chadema na Waliberali CUF, ha! ha!
Le Mutuz
- ha! ha! ha1 ha! najibu mapigo yenu yasiyo na tija, tafuteni historia ni wapi duaniani KAtiba iliwahi kubadilishwa na chama minority bungeni! poleni sana
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!!
lE mUTUZ
Anakusemea au anasemea Tume, mbona magamba mnachuki na huyu Mzee mwenye hekima
Ha ha ha ha unazidi kujivua nguo- fUNGUA THREAD YA KUBAMBIKIWA WATOTO NA TANZANIA AU LE BIG SHOW, HAPA NAWACHAPA VIBOKO kwamba Warioba hana mamlaka ya kuamua Katiba mpya tuacheni CCM tulale kidogo bana!! ha1 ha! ha!
Le Mutuz
Katiba ni kwa maslah ya Taifa sio chama cha siasa wewe usijitoe ufahamu Jiandae kisaikolojia kusikia kile usichokipenda!- Warioba anajichukia mwenyewe, unawezaje kushindana na chama chenye majority kama CCM? impossible ninashangaa sana hivi huko Chadema kuna viongozi wa aina gani hasa ambao hawawezi kuelewa kuhusu umuhimu wa political timing, huwezi kudai katiba mpya na wabunge 46 tu.
Le Mutuz
Chama minority? kila kukicha mijasho nda ndevu zinawachachamaa kupambana na MAJORITY POWER which are within CHADEMA leo unalopoka bila haya unatoa ulimi bila kujua unachokijadili. PEOPLESSSSSSSSSSSSSS!!!!!!!!! MALIZIA unajua hapa kitaeleweka tu Kaniki zenu na mashati hayana tija now.
- Warioba anajichukia mwenyewe, unawezaje kushindana na chama chenye majority kama CCM? impossible ninashangaa sana hivi huko Chadema kuna viongozi wa aina gani hasa ambao hawawezi kuelewa kuhusu umuhimu wa political timing, huwezi kudai katiba mpya na wabunge 46 tu.
Le Mutuz
Katiba ni kwa maslah ya Taifa sio chama cha siasa wewe usijitoe ufahamu Jiandae kisaikolojia kusikia kile usichokipenda!