Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,564
- 7,973
Jusa ni kijana kimwili lakini mzee kuliko warioba kiakili.
Jaji Warioba alimpa kubwa pale pale kwamba nia yake ni kutaka kuvunja mkataba lakini ameamua kupita vichochoroni akisingizia muungano wa mkataba ambao alishindwa kuutaja hata mmoja.
Kama kweli anaamini kwamba akili yake iko sawasawa na anajua anachokitaka, kwanini asizungumze moja kwa moja kwamba hataki muungano?
Btw sisi hatuna shida yoyote wala manufaa yoyote na zanzibar, kwahiyo muungano uwepo au uvunjike sisi poa tu.