Jaji Warioba ambana Jussa kuhusu Muungano wa mkataba

Jusa ni kijana kimwili lakini mzee kuliko warioba kiakili.

Jaji Warioba alimpa kubwa pale pale kwamba nia yake ni kutaka kuvunja mkataba lakini ameamua kupita vichochoroni akisingizia muungano wa mkataba ambao alishindwa kuutaja hata mmoja.

Kama kweli anaamini kwamba akili yake iko sawasawa na anajua anachokitaka, kwanini asizungumze moja kwa moja kwamba hataki muungano?

Btw sisi hatuna shida yoyote wala manufaa yoyote na zanzibar, kwahiyo muungano uwepo au uvunjike sisi poa tu.
 
At last Ismael Jussa ameanza kufundishwa somo la Muungano the hard way!

Katika mchakato wa kukusanya maoni juu ya katina mpya, Mweneyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya katiba Jaji Warioba imebidi atoe "tuition" kwa Bwana Jussa, ambaye kwa muda mrefu sasa amekuwa anonelea mifumo ya Muungano isiyo na tija.

Kulingana na taarifa kutoka gazeti la Nipashe, la leo 15/10/2012 nanukuu:

" Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katinba Jaji Joseph Warioba amembana Mwakilishi wa Jimbo la Mji Mkongwe(CUF) Ismael Jussa aeleze kuhusu mfumo wa uendeshaji wa Muungano wa mkataba unavyopaswa kuwa na mgawanyo wa madaraka"
Jussa alikuwa ametoa maoni yake mbele ya Tume hiyo akijinadi kwa kutaka muungano wa mkataba.

Ndipo Jaji Warioba akamtaka atoe mifano ya mikataba kama hiyo inayotumiwa duniani, ambapo mheshiiwa huyu alianza kuweweseka na kudai kuwa ana mifano zaidi ya mia moja.

Baada ya kutoridhik na maelezo,Jaji Warioba alimbana zaidi na kumweleza kuwa nia ya Mwakilishi huyo hasa ilikuwa kuvunja muungano na si vinginevyo.

My Take
Muda wa kubwabwaja inaeleka mwisho kwa Bwana Jussa, he is meeting proffessionals katika field hiyo.

Kwani nani anataka muungano na hawa wazenji? Madhara yake tumeanza kuyaona Mbagala
 
Kuna watu (wanajulikana wana
kazi zao) ambao wamependa
kujifurahisha kuwa Warioba
alimbana Jussa na kwamba Jussa
alishindwa kujibu hoja zake. Who is
Warioba after all? Na kwa hoja zipi za maana alizowahi kuzitoa?
Warioba simply anashindwa
kustahamili mawazo
yasiyokubaliana na UNYERERE ambao ndiyo itikadi yake na akina
Butiku. Alianza kwa kutokubaliana
na kile alichokiita mtazamo tofauti
wa historia ya uundaji wa
Muungano (different perspective
on the historical background of the making of the Union)
nilipomjibu akakaa kimya! Akataka
kujua mifano ya Muungano wa
Mkataba na nikamtajia Muungano
wa Ulaya (European Union) lakini
nikamjibu kuwa Mikataba haina sura moja wala waliokuja na
miundo ya Miungano yao ya
Mkataba hawana monopoly ya
wisdom kuwa lazima tuangalie
mifano yao tu akataka kulazimisha
mitazamo yake. Nilipotaka kumjibu Butiku akazuia kwa sababu alijua
nitamuumbua. Kilichodhihirik a pale ni kuwa Warioba (ambaye
anaonekana amechoka sana hata
uwezo wa kufikiri unampungukia)
na Ma-Nyerereists wenzake
wamepata mshtuko kutokana na
wingi (overwhelming majority) wa Wazanzibari wanaotaka Zanzibar
yenye mamlaka kamili kitaifa na
kimataifa na kufuatiwa na
mashirikiano kati yake na
Tanganyika kupitia Muungano wa
Mkataba. Anababaika, anaweweseka! Lakini wimbi hili
halizuiliki! Wazanzibari tumeamua!
Unyerere (ambayo ndiyo itikadi
inayowakilisha Ukoloni wa
Tanganyika dhidi ya Zanzibar)
hauna nafasi tena katika Zanzibar ya leo. Na wachukie wenye
kuchukia
 
Granted.

Lakini hata hiyo CCM sponsored process, once ukishakubali kushiriki, umeshai legitimize.

Na hapa tunaona muwakilishi wa upinzani -CUF- anajiumauma, anasema anataka muungano wa mkataba, anaulizwa mkataba wa aina gani, ooh nina mifano 100, haya tupe mfano mmoja basi tuusome tujue unamaanisha nini.

Anajiuma.

Watu wanaulizwa wanataka katiba ibadilishwe vipi, wanasema mambo ya ajabu huko, mara nchi iwe na muhimili wa dini kama nyongeza ya executive, legislature and judiciary. Watu wanataka katiba iruhusu kuoa wake mitala wakati haki za kikatiba kufanya hivyo zipo tayari.

Huwezi kuwa na a meaningful constitutional review process kama watu wako hawajui hata kusoma na kuandika kwa viwango vinavyotakiwa.

Na hapo ndipo CCM inapopata ushindi, mpeleke Warioba aende kusikiliza Waswahili wanaobishana mambo legal kwa unazi.

Matokeo yake mtu anasema ana mifano 100, anaambiwa taja mmoja, ananywea.

Ny father is stronger than your father style!

muungano kwa mkataba ni uoga, ubinafsi na kutaka kulindwa kwa hawa "viongozi" wa ZNZ. wanataka Tanganyika iingilie kati wakitishwa na mabadiliko ya nje au ndani kama Comoros huku wakiwa huru kuwatawala vilaza wengi wa kizenji na rasilimali chache zilizopo.

Tanganyika tuna matatizo makubwa na vipaumbele vingi kuliko haya yasiyo na maana ya muungano na ujinga wa hawa small people of znz who are used to think small while complain, gossip, work less in their contagious-compromised environment (wengi wanafanikiwa wakiwa nje ya znz haswa Tanganyika zaidi ya kwenye vichuguu vyao), and hopeless people clinging on religion, clans and the like to survive.
 
Kuna watu (wanajulikana wana
kazi zao) ambao wamependa
kujifurahisha kuwa Warioba
alimbana Jussa na kwamba Jussa
alishindwa kujibu hoja zake. Who is
Warioba after all? Na kwa hoja zipi za maana alizowahi kuzitoa?
Warioba simply anashindwa
kustahamili mawazo
yasiyokubaliana na UNYERERE ambao ndiyo itikadi yake na akina
Butiku. Alianza kwa kutokubaliana
na kile alichokiita mtazamo tofauti
wa historia ya uundaji wa
Muungano (different perspective
on the historical background of the making of the Union)
nilipomjibu akakaa kimya! Akataka
kujua mifano ya Muungano wa
Mkataba na nikamtajia Muungano
wa Ulaya (European Union) lakini
nikamjibu kuwa Mikataba haina sura moja wala waliokuja na
miundo ya Miungano yao ya
Mkataba hawana monopoly ya
wisdom kuwa lazima tuangalie
mifano yao tu akataka kulazimisha
mitazamo yake. Nilipotaka kumjibu Butiku akazuia kwa sababu alijua
nitamuumbua. Kilichodhihirik a pale ni kuwa Warioba (ambaye
anaonekana amechoka sana hata
uwezo wa kufikiri unampungukia)
na Ma-Nyerereists wenzake
wamepata mshtuko kutokana na
wingi (overwhelming majority) wa Wazanzibari wanaotaka Zanzibar
yenye mamlaka kamili kitaifa na
kimataifa na kufuatiwa na
mashirikiano kati yake na
Tanganyika kupitia Muungano wa
Mkataba. Anababaika, anaweweseka! Lakini wimbi hili
halizuiliki! Wazanzibari tumeamua!
Unyerere (ambayo ndiyo itikadi
inayowakilisha Ukoloni wa
Tanganyika dhidi ya Zanzibar)
hauna nafasi tena katika Zanzibar ya leo. Na wachukie wenye
kuchukia

mpemba mbishi..huu mkataba mnataka uwe wa nini? kwa nini muungano usivunjike mkajiunga tu EAC baada ya miaka 5 au zaidi. Mkataba hautakua mutual, Tanganyika yenye kila kitu relatively itafaidika nini na mkataba wa aina yeyote na znz?

sioni cha maana hadi kuingia mkataba, Tanganyika has more interests towards kenya, uganda, zambia, rwanda, burundi, malawi, and to some extent mozambique than your ZNZ. Or is it tunataka kuendeleza "undugu" wetu wa kihistoria na kiutamaduni? haya yataendelea bila ya mikataba mahsusi kaka. Mahusiano yetu yatakuepo tu na hamna kitachoharibika kati yetu kaka, kama sisi na wakenya au waganda ni ndugu zetu wa muda mrefu hatuna haja ya mikataba mahsusi zaidi ya makubaliano ya hiari kwenye maeneo tunayaona tunafaa kushirikiana kwa faida za 50-50 kwa mataifa yote husika.

Fikra zangu zinaelekea kua Muungano wa mkataba utakua ni kama kulinda maslahi binafsi ya viongozi wa kisiasa wa znz....walindwe na Tanganyika huku wakifaidi matunda yote ya znz huru juu ya wananchi wao na Tanganyika ikiendelea kuibeba znz kiani fulani namna hii....

nakubali kukusolewa na kuelimishwa

shukhrani.

mharakati
 
....hoja za jusa & co ni jaribio la nazi kutaka kuvunja jiwe...tunaweza badili muundo wa muungano, au hata kuuvunja, lkn si kwa hoja za kina jusa & co...na jambo lingine muhimu...zanzibar ni kipande cha afrika...na abadan...si sehemu ya "arabuni"....au ya nchi ya asili ya jusa!!!
 
Jusa ni kijana kimwili lakini mzee kuliko warioba kiakili.

Jaji Warioba alimpa kubwa pale pale kwamba nia yake ni kutaka kuvunja mkataba lakini ameamua kupita vichochoroni akisingizia muungano wa mkataba ambao alishindwa kuutaja hata mmoja.

Kama kweli anaamini kwamba akili yake iko sawasawa na anajua anachokitaka, kwanini asizungumze moja kwa moja kwamba hataki muungano?

Btw sisi hatuna shida yoyote wala manufaa yoyote na zanzibar, kwahiyo muungano uwepo au uvunjike sisi poa tu.

Mimi naninavyomfahamu Warioba ni mroho tu wa madaraka na hajui alitendalo kwa hili. Na nina wasi wasi na weledi wake katika kazi hii aliyopewa kuhusu kukusanya maoni ya kuunda Katiba mpya. Kwani wajibu wake ni kukusanya maoni yote yawe ya kuimarisha au kupinga Muungano. yeye alitakiwa kuyakusanya na kuyaweka sawia katika lugha ya kisharia kisha kukabidhi kwa waliomtuma kwani mwisho wa siku maamuzi yatarudi kwa wananchi kwa kupiga kura.

Sasa kwanini anabishana na watu wanaotoa mawazo yao. Amebishana na Jussa na Sasa anabishana na Profesa Shivji. Je warioba anajua anafanya nini?

Nafikiri uzee mnajia vibaya, awaache vijana wausasanbue vilivyo muungano wenu.

Pole sana Jaji asiyewahi kuhukumu hata kesi moja Warioba.

mpemba mbishi..huu mkataba mnataka uwe wa nini? kwa nini muungano usivunjike mkajiunga tu EAC baada ya miaka 5 au zaidi. Mkataba hautakua mutual, Tanganyika yenye kila kitu relatively itafaidika nini na mkataba wa aina yeyote na znz?

sioni cha maana hadi kuingia mkataba, Tanganyika has more interests towards kenya, uganda, zambia, rwanda, burundi, malawi, and to some extent mozambique than your ZNZ. Or is it tunataka kuendeleza "undugu" wetu wa kihistoria na kiutamaduni? haya yataendelea bila ya mikataba mahsusi kaka. Mahusiano yetu yatakuepo tu na hamna kitachoharibika kati yetu kaka, kama sisi na wakenya au waganda ni ndugu zetu wa muda mrefu hatuna haja ya mikataba mahsusi zaidi ya makubaliano ya hiari kwenye maeneo tunayaona tunafaa kushirikiana kwa faida za 50-50 kwa mataifa yote husika.

Fikra zangu zinaelekea kua Muungano wa mkataba utakua ni kama kulinda maslahi binafsi ya viongozi wa kisiasa wa znz....walindwe na Tanganyika huku wakifaidi matunda yote ya znz huru juu ya wananchi wao na Tanganyika ikiendelea kuibeba znz kiani fulani namna hii....

nakubali kukusolewa na kuelimishwa

shukhrani.

mharakati

Muungano wa Tanganyika na Znz ni muungano wa MKATABA na sio KIKATIBA.

Ndio maana kila nchi ina katiba yake. Na ukisoma Katiba ya JMTz imelibainisha hilo katika kifungu kinachozungumzia

Utekelezaji wa shughuli za Mamlaka ya Nchi Sheria namba Na.15 ib.6 ya 1984, kifungu cha 4

4.-
(1) Shughuli zote za Mamlaka ya Nchi katika Jamhuri
ya Muungano zitatekelezwa na kudhibitiwa na vyombo viwili
vyenye mamlaka ya utendaji, vyombo viwili vyenye mamlaka
ya kutekeleza utoaji haki, na pia vyombo viwili vyenye
mamlaka ya kutunga sheria na kusimamia utekelezaji wa
shughuli za umma.

(2) Vyombo vyenye mamlaka ya utendaji vitakuwa ni
Serikali ya Jamhuri ya Muungano na Serikali ya Mapinduzi ya
Zanzibar, vyombo vyenye mamlaka ya kutekeleza utoaji haki
vitakuwa ni Idara ya Mahakama ya Serikali ya Jamhuri ya
Muungano na Idara ya Mahakama ya Serikali ya Mapinduzi ya
Zanzibar, na vyombo vyenye mamlaka ya kutunga sheria na
kusimamia utekelezaji wa shughuli za umma vitakuwa ni
Bunge na Baraza la Wawakilishi.

(3) Kwa ajili ya utekelezaji bora wa shughuli za umma
katika Jamhuri ya Muungano, na kwa ajili ya mgawanyo wa

madaraka juu ya shughuli hizo baina ya vyombo vilivyotajwa

katika ibara hii, kutakuwa na Mambo ya Muungano kama

yalivyoorodheshwa katika Nyongeza ya Kwanza iliyoko mwishoni mwa Katiba hii, na pia kutakuwa na Mambo yasiyo

ya Muungano ambayo ni mambo mengine yote yasiyo Mambo

ya Muungano.
(4) Kila chombo kilichotajwa katika ibara hii kitaundwa
na kutekeleza majukumu yake kwa kufuata masharti mengine
yaliyomo katika Katiba hii.
 
Tatizo vyombo vya habari vimewafanya Watanganyika kama masuku, wakishwa kunyushwa maneno hubaki kuporoja! Hawataki kutafuta ukweli wa mambo kwa kusikiliza hayo majadiliano yalivyo kwenda ikisha wakathibitisha kama kweli Jussa alibanwa au alipewa funzo.
 
tulichosema na tunacho endelea kusema kwamba tunataka zanzibar huru na Tanganyika huru, laa mukiona munataka Muungano, basi ni muungano wenye sifa ya "MKATABA" na sio wa "KIKATIBA". Vyenginevyo tutakutanakwenye EAC, pindi sisi tukipenda kwenda huko.

WARIOBA anasema tutakutana huko, naam tutakutana huko wala sio Tatizo hata kidogo. Sasa ugomvi na matusi ya nini wakati kitu kipo wazi...
 
Kwani nani anataka muungano na hawa wazenji? Madhara yake tumeanza kuyaona Mbagala

Mkuu, Mpigauzi, nafikiri Mwita Maranya amejumuisha mawazo yangu......

Jusa ni kijana kimwili lakini mzee kuliko warioba kiakili.

Jaji Warioba alimpa kubwa pale pale kwamba nia yake ni kutaka kuvunja mkataba lakini ameamua kupita vichochoroni akisingizia muungano wa mkataba ambao alishindwa kuutaja hata mmoja.

Kama kweli anaamini kwamba akili yake iko sawasawa na anajua anachokitaka, kwanini asizungumze moja kwa moja kwamba hataki muungano?

Btw sisi hatuna shida yoyote wala manufaa yoyote na zanzibar, kwahiyo muungano uwepo au uvunjike sisi poa tu.
 
tulichosema na tunacho endelea kusema kwamba tunataka zanzibar huru na Tanganyika huru, laa mukiona munataka Muungano, basi ni muungano wenye sifa ya "MKATABA" na sio wa "KIKATIBA". Vyenginevyo tutakutanakwenye EAC, pindi sisi tukipenda kwenda huko.

WARIOBA anasema tutakutana huko, naam tutakutana huko wala sio Tatizo hata kidogo. Sasa ugomvi na matusi ya nini wakati kitu kipo wazi...

AllyZenj, Jasusi,

..mimi nimesikiliza mjadala ulioendelea kati ya Mzee Warioba na Mh.Ismail Jussa.

..lakini pia kule kwenye ukumbi wa mjadala Mh.Jussa alisema anamheshimu Mzee Warioba. Sasa inashangaza kwamba Mh.Jussa amehamia kwenye facebook na kuanza kumponda Mzee wa watu mpaka kufikia kusema "Who is Warioba?" Hapo kuna walakini kidogo.

..tatizo nililoliona mimi ni kwamba Mh.Jussa amezoea kuzungumza na watu ambao hawahoji yale anayoyazungumza. Sasa alipokutana na watu wanaohoji mapendekezo/mitazamo yake akaanza kukosa muelekeo na kudai kwamba Mzee Warioba na Mzee Butiku walikuwa wanam-lecture.

..jambo lingine ni kwamba Mh.Jussa ameshindwa kuwa honest 100%. Hii hoja kwamba kutakuwa na "muungano wa mkataba" ni UONGO, let be honest here. Anachopendekeza Ismail Jussa ni kwamba muungano uvunjwe na badala yake tushirikiane kupitia mikataba mbalimbali.

NB:

..hata mfano wa mkataba wa ulinzi na usalama kati ya Tanganyika na Zanzibar aliopendekeza Mh.Jussa upo ktk Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ndiyo maana wengine tunasisitiza tuvunje tu muungano na kama tunataka kushirikiana tufanye hivyo kupitia EAC.
 
Anacho fanay Warioba ndio hilo alilosema Jussa kwamba anajaribu kutia khofu watu kwamba mukifanya hivi itakuwa hivi. Hiyo sio kazi yake kuhoji na kudadisi na kama alivyo sema Mhe. Jussa kwamba asitarjiye (warioba na butiku na wenzake wa tume ) kwamba ataweza kumjibu vizuri zaidi kwenye dakika 5. ametaka mfano wamepewa Eu, yeye Warioba ansema tusiende mbali si kuna EAC. Ametaka kuhusu hiyo treaty itakuwa vipi akajibu, kwamba tutakuwa na serikali ya znazibar yenye mamlaka yake tutakuwa na Tanganyika yenye mamlaka yake na akasisitiza kamba hakutakua na serikali ya muungano, badala yake kutakua na hiyo treaty mambo ambayo tutakubaliana kushirikiana. Kwani kwenye Muungano wetu huu, tayari kuna tume na kamati zisizo pungua 26, kuna mazungumzo yasiyo pungua 100, yote hayo badala ya kutatua kero, yamekuwa yanaengezeka kila uchwao. Sasa huu Muungano wa aina gani. Alikataa kuingia kwenye katiba kwani alijuwa nayo imejaa mashakili kibao, kwa hiyo ilikuwa vyema kuibuwa hoja yake na tume ichukuwe. Yeye si wa mwano kuja na hoja hiyo, wazanziabri walio wengi wamesema hivyo hivyo.

Lazima Watanganyika muwe side ya Warioba kwani hakika kaumbuka, tena kaumbuka kiasi kwamba mwisho walifahamu kwamba walifanya makosa wakawa wanajaribu kumtuliza na kuwatuliza watu waone kana kwamba walikuwa wanataka kufahamu kitu tu. ati wewe unasema ikisha mimi nisijibu ikisha magazeti waseme Jussa kashindwa kiujibu. Anajaribu kupotosha ikisha butiku anamkingia kifua ati Jussa akaye. Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar alikuwa anawatizama kwa makini wanavyo jichanganya.

Sasa kama wew eunasema alishindwa kuwa honest ni juu yako, lakini aliweka wazi tunataka hivi na hivi na asilizamishwe lazima aseme muungano anao taka yeye atowe mfano ni huu . Si tunasema huu wa kwetu ni unique, sasa iweje vyereje na sas akufanya unique nyengine?

Zamani ilikuwa tunatolewa mfano wa Muungano wa UK, sijuwi Scotland. Mungu Mkubwa, Scotland wametibuwa mambo na yamekuja wakati mzuri na mwakani itajulikana moja. Jee hawa hawajuwi kwamba umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu? Yaani mpaka afanye mzungu na sisi ndio tuige. Mzungu wa kike akikaa matiti wazi kwenye magazeti, anakuwa model, celebrety atapambwa weeee, lakini akitokezea M-afrika kusini mwenye mila zake kukaa matiti/maziwa wazi ahaa nao hawa mila nyengine tenaaaa ahaaaa. Mzungu katobowa mashikio imekuwa fashion, mmasai kosa ndio nyinyiiii.
 
Nchi za EU zina full sovereignty. Zanzibar kutaka "muungano" kama wa EU is as good as kusema Zanzibar inataka kuvunja muungano na kuwa na full sovereignty then wote tuwe members wa EAU or AU.

Let's not beat around the bush.

Kwa nini Jussa asiseme tu anataka kuvunja muungano Zanzibar iwe na uhuru kamili tukajua anachotaka?
 
Kwa kuengezea tu, Bwana Butiku mwisho anasema Jussa umeelewekwa, sasa kama wewe wadhani honest hakuwa wazi, sijuwi kwasababu zipi? Magazeti nayo kupotosha kama alivyotaka mzee arioba kutaka kupotosha kwa kumuambia Jussa kapotosha wakati yeye anafahamu historia ya nchi zetu mbili kila mmoja anasema kivyake. Haina maana nikisema nakuheshimu ndio wewe univunjiye heshima na alimuambia mbele yake kamba tuheshimiane.

Lazima ufahamu kamba mzee warioba muungano huu anaupenda kupindukia na hii ni kutokana na kumuamini sana mwalimu. Lakini tatizo la watanganyika mumekuwa wagumu mno kufahamu kilio chetu wazanzibari. Sisi hata tupate msaada India, basi kupata ile barua tu, utasumbulia weee na mwisho hupewi. Na tena inaweza kua haihusiani kabisa na mambo ya muungano. Sawa mambo ya nje ya muungano basi nikija na dhiki yangu usinibane nibane ikiwa ni kitu cha muungano. mambo ni mengi na yanazidi kuwa mengi.
 
Back
Top Bottom