Hakika JUSSA anawakosesha usingizi waTanganyika na hata kumuona ni mwiba mkuu.
Hongera sana Jussa hakika wewe ni kichwa.
Sheria ya mabadiliko ya katiba mpya inatoa fusra kuuboresha muungano na sio kuvunja,sasa wewe kama ona hoja zaidi ongea na rais wako kikwete.
Tuweke wazi tunamhitaji nani? Sisi tunasema tutaamua aina ya muungano mkishindwa ondokeni.
Mumeng'ang'ania mkataba wa kitu gani Baru baru!
Elewa kuwa Tanganyika kila kichwa kinafanya kazi kivyake. Hatukuweka rehani akili zetu kwa Jusa au Ahmed.
Wewe hapo ulipo huwezi kutetea muungano wa mkataba maana yake ni nini, unawezaje kuwasota vidole Watanganyika?
Sababu ya kushindwa kutetea hoja ni matokeo ya kulishwa hoja na kuanza kuimba bila tafakuri, hilo linawezekana ukishauka bahari hasa chumbe kueleke mashariki si katika nchi ya Tanganyika.
Baru baru ndugu yangu leo umekimbia hoja zote za serikali 3, muungano wa Uswiss, mkataba wa 1964, muungano wa makao na Hong kong leo unasema mkataba.
Tunachoshangaa ni kuwa ninyi si mlisema Tanganyika wakoloni? Sasa kwanini bado mnataka kujibanza kwa wakoloni. Kama mnaitaka Tanganyika mkubali kuwa mtakuwa taifa ndani ya taifa, mtake msitake na huo ni ukweli tu.
Nasema mtake au msitake kwasababu baada ya kupewa ukumbi hakuna hata mmoja anyefungua kinywa na kusema tuvunje muungano. Kila mmoja anataka mkataba. Ondokeni kama mnaona hamsikilizwi.
Tutasema haya kila siku, kijiografia, uchumi, kisiasa na kiutamaduni ZNZ inaihitaji Tanganyika, period.
Mtabaki kumlaani Nyerere majukwaani na kwenye makongomano, mkimaliza kila mmoja anapanda meli kuja kupumua Dar es Salaam. Seif Sharif ana makazi, Hamad Rashid ana makazi, Sheni ana Makazi, Jumbe ana makazi mtoto wa muasisi Karume ana makazi , Raza ana makazi n.k. Wasio na makazi ni washona madema ambao masikini husimama na kusema chochote hata kama ni kujiumiza ili mradi kasema fulani.
Baru baru, hoja hapa ni kuwa kwanini mnataka mkataba na Tanganyika na si ule wa EU, Uswiss au EAC mnaoutamani sana. Why Tanganyika. Pili tume hiyo ipo mbele yenu kwanini watu wamekuwa mabubu ,tume ikiondoka wanafungua vinywa ovyo.
Honestly, I wish ZNZ waondoke hata kabla ya adhuhuri maana sioni cha maana ninachoweza kufikiri kuwa uwepo wake utamsaidia Mtanganyika! hakuna hata kimoja. Let them GO! tumechoka kusikia porojo zao za kitoto.
Porojo za kitoto maana mtu anaposema eti Tanganyika inawaibia, huyo anahitaji kumuona Daktari.
Itakuwa na maana zaidi kwenda kuiba Kariakoo au Manispaa ya Ilala kuliko SMZ.
Lakini WZN hizo ndizo zao na hoja hizo wamefundishwa na kukariri vema.
Baru baru, hebu niambie Tanganyika inaihitaji ZNZ kwa kitu gani cha maana.
Bwanyenye umerudi..umeamua tetea watumwa zenu? Kama wapo huru mbona wana lugha tofautia bara na visiwani?mbona wasiwe na huo uhuru popote?Pengine hujui tofauti ya unafiki na uhuru.Mnafiki yupo huru kwa ian afulani kwa vile ana version nyingi za aongeacho hadi pale atakapobanwa. watu wake wapi akina Mwinyi, na diria, salmin na wengine ni wabara?Waulize kwanini hawajengi Zenj?Huo ndio uzalendo wa wazenj?
bwanyenye wewe siku nyingine unageuka mosmi, siku nyingine mmbea.Hivi unadhani Napo Albino walikuwa salama na uvivu wa samaki?Hizi unadhani kwanini Zenj na pwani nzima hawaibiani?Hakuna hofu ya Mungu,kuna hofu ya Nguvu za Giza, kushushana mabusha,na mengine,Huna jipya wewe. Kazi kubwa kuuwa vikongwe tu na kukata viungo vya albino.