Jaji Ramadhani: Nitatema nyongo baada ya Uchaguzi

Jaji Ramadhani: Nitatema nyongo baada ya Uchaguzi

Lowasa hasafishiki hata kwa fagio la chuma, kachafuka mnoo, ni mtu wa propaganda tu hana lolote, Magufuli oyeee


CCM imemdhalilisha sana huyu Jaji, yaani Makamba na Membe waliofungiwa kufanya siasa kwa mwaka mmoja ndio wenye maadili kumshinda huyu Jaji? Kweli CCM kiboko!
 
Heri ya huyu Jaji kuliko kapi lenu Lowassa ambalo saa hizi ndiyo linajifanya lina uchungu na watanzania kisa lilikatwa na ccm.Ni mbinafsi,mnafiki na hana uzalendo kwa nchi yake.Taifa lilipofanyiwa ufisadi kisha yeye kuamua kujiuzulu na kukaa kimya ni usaliti mkubwa kwa watanzania.Malipo ya kufanya hivyo alitaka apewe Urais.What he cares ni madaraka na si watanzania.Tungemuelewa sana kama baada ya kashfa ile angejiuzulu na kuhama chama kwenda kupigania ukombozi mahali pengine.Badala yake akaanza harakati za usaliti ndani ya chama ili kutimiza malengo yake binafsi.Pigeni kelele tu humu sababu thamani yenu ni bilioni 10 but wananchi wametulia tulii sababu wanajua ni mtu ambaye hafai na tayari Rais wao wanaye mioyoni mwao.M4C,maandamano mpaka damu za watu kumwagika,migomo na vurugu bungeni kumbe thamani yake ni bilioni 10 tu

lowassa na Chenge nani fisadi?....Lowassa ni mdhambi aliyeamua kutubu na kubadilsha mfumo wa maisha yake kwa kujiunga na watu safi wenye lengo la kuikomboa nchi kutoka mikonon kwa WAKOLONI WEUSI....Chenge hamumsemi coz yupo CCM bado angehamia upinzan kila neno mngesema MAKAPI nyie..sasa yy kama alikuwa kapi...mbna hamkumfukuza km sis tulivyofanya kwa zitto?..hayo n maneno ya mkosaji au kelele za chura na kwa maelezo zaidi ungeangalia taarifa ya habari ya jana ya ITV kapi wee...mwaka huu mtasoma kiislaer puuuumbav MAKAPI WAKUBWA..
 
Huyu mzee ni fake. Ni yeye aliyeminya suala la mgombea binasfi kwenye kesi ya Mtikila!
 
Lowasa hasafishiki hata kwa fagio la chuma, kachafuka mnoo, ni mtu wa propaganda tu hana lolote, Magufuli oyeee

naona umekomenti na kutupa kasimu kako hutaki hata kuona uchafu ilioandika na Udogi wako
 
Wasingeweza kupitishwa kugombea urais wote 40. Ilikuwa lazima apatikane mmoja wao katika wale wote. Hili lazima alijue na kila Mtanzania alijue
Hili lingefanyika kwa kufuata katiba yao ya CCM kila mtu angeridhika. Kamati ya maadili ni kitengo katika secreterieti ya chama itakuwaje na nguvu na maamuzi kuliko hata kamati kuu?!!Kama mgombea wa ukuu wa mtaa ,udiwani n.k. wanapewa nafasi ya kujinadi na kuomba kura katika vikao husika , je wagombea Urais kupitia CCM hilo lilifanyika? Nina hakika wote waliokatwa urais CCM a.k.a makapi na familia zao hawataipa kula CCM ingawaje wako CCM kimwili.
 
Ret. hon CJ. Baada ya uchaguz haitasaidia.
Ni jambo la hekima kuzungumza now ili walio wengi wapate kukijua chama chao CCM.
Watanzania wengi ni wapenda na wafuasi wa matukio.
Ili waweze kushiriki kikamilivu ni vema ukazungumza na kuyatoa yalio moyoni mwako.
Yuu kiongozi wa kiroho sasa, ukweli daima huleta amani na furaha, kusimamia ukwel ni jukumu pia.
CJ mstaafu mwenye history yako ktk Taifa.
Unahitajika kutoa kauli ili kuwakomboa wananchi kutoka ktk huo unyonyaji wa haki na ubakaji wa demokrasia.

Na jambo muhimu sana ktk Taifa letu ni kurekebisha na kukemea hii tabia iliyojengeka kwa hao WanaCCM kukashifu viongozi waastafu, watanzania wenzio ktk majukwaa sababu ni wao kulindwa na dola!!!.
Kama taifa tunakwenda wapi?
Family zenu na vizazi vyenu heshima itapungua sababu ya kukaa kimya kwenu. Ni vzr mkatoka na kuzungumza kweli.

Taifa linastawika kw watu wote kuheshimiana.

Naipenda Tanzania.
 
Pinda naye anatoa ya moyoni lini?
 
Alaa! Kumbe jaji Ramadhani nae ni KAPI, kajitakia mwenyewe kuwa kapi, hakutosheka tu kuwa kiongozi mkuu wa mahakama akataka awe pia rais. Kwanza alitakiwa ashitakiwe kwa sababu kwa kugombea uongozi wa siasa ni wazi wakati akiwa mahakamani, alikuwa akipendelea chama chake.
 
Pinda naye anatoa ya moyoni lini?

Siku Bilali na Sumaye watakapotoa yao ya moyoni, ingawa alishatoa awali kwa kulia pale mbele ya mkutano mkuu siku Makufuli anatangazwa.
 
Lowasa akimuongezea mpunga anafunguka.
 
Tuseme ule ukweli Makamba vs Pinda, Sumaye, Jaji Ramadhani, Mhe. Bilal, Mwandosya, Sitta, Mwakyembe etc. yupi ana kigezo hata ukiwaleta mbele ya wananchi. Makamba ni very very junior kwa hao niliowataja hata kwa protocali. Makamba akiitwa na Mhe. Bilal na Pinda ni mtu wa kukimbia leo hii Mhe. Bilal au Pinda ndiyo wampigie magoti Makamba kwa kweli haiji. Wote tuliosoma Management kitendo cha kumpendekeza Makamba ni kitendo kisichofuata utaratibu na kinafaa kilaaniwe na wote wana CCM. Tuache kubebana nchi ni yetu wote.
 
Huyu jaji alijitakia mwenyewe kukubali kudanganywa agombee .Ana la kusema ila anaogopa kubadili upepo!!?Si ubadilike ana hasara gani mbona yeye kadhalilishwa
Mnafiki atabaki kunafikika kila uchwao
 
Ni kweli ni kapi tu. Angelikuwa na lolote la maana ansingesema eti anaogopa kusema ili asibadilishe upepo w auraisi. Huyu ni kapi tena halifai. Hajitambui na hana uchungu na nataifa. Asingekuwa kapi, asinge sita kusema kweli yoyote anayoijua ambayo ingewafanya Watanzania waamue kuchagua kiongozi kwa busara kwa kutumia taarifa sahihi ili kujenga nchi.

Huyu ni kapi tu linaloenda na upepo, hana uchungu na nchi, hana ujasiri wa kufanya maamuzi na hana uwezo hata mdogo wa kuikomboa nchi. Kajaa unafisi na ubendera fuata upepo.

Kweli ni kapi tena lisilokomaa, na ambalo halifai. kusema baada a uchaguzi ni kuwazomea Watanzania na hila za kusababisha machafuko

M.baffu kabisa na kama nasemi sasa na anyamaze hata milele. Hatutegemei lolote jema kutoka ccm. Yote ni majambazi tu yamezoea rushwa na ku black mail.

Mbona povu kaka? Unajua anachotaka kuzungumza au tayari umeshakuwa kwenye captivity of negativity
 
Back
Top Bottom