Jaji Ramadhani: Nitatema nyongo baada ya Uchaguzi

Naam Jaji Ramadhani hana maadili CCM haikukosea .Yeye ametumika kwa miaka kadhaa akijifanya yuko neutral na kufikia kuwa makamo mwenyekiti wa tume ya uchaguzi (NEC)kumbe alikuwa ni mkereketwa wa CCM aliyekuwa akiibeba CCM katika chaguzi zote.
Na halafu tusisahau yeye na Warioba ndio waliopendekeza serikali tatu (hili Namuunga mkono)lakini halikuwafurahisha CCM.
 
Back
Top Bottom