Jaji Mkuu Aapishwa Kenya

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,631
4,225
Mutunga takes office as Kenya CJ

mutungapix.jpg

Dr Willy Mutunga during the vetting by MPs at County Hall in Nairobi on June 7th, 2011
By JILLO KADIDA (jkadida@ke.nationmedia.com)

Posted Monday, June 20 2011 at 11:00

Dr Willy Mutunga has taken office as Kenya's Chief Justice with a vow to help recover public trust on the judiciary.
Speaking at the steps of the Nairobi Law Courts moments after he was sworn into office, Dr Mutunga said "it should no longer be possible to speak about corruption and the judiciary in one breath."

He said: "I commit, at the personal and institutional level of the judiciary, to ensure that the courts are accessible to and for all and that the rulings, judgments and pronouncements from the judiciary quench the thirst of the just and uphold the deeds of the law-abiding."

Dr Mutunga was sworn into office at State House Nairobi on Monday together with his deputy, Nancy Baraza and the country's new Director of Public Prosecution Keriako Tobiko.

The brief ceremony was witnessed by President Kibaki, Prime Minister Raila Odinga, Justice Minister Mutula Kilonzo, Attorney-General Amos Wako among other senior government officials.

The Chief Justice has been driven to his office from where he addressed the nation.

The CJ told members of the judiciary that he will be true to his oath of office by upholding the dignity and respect for the institution.

"In return for the independence the Constitution secures for us, we as judges must guard against becoming captives of political, commercial or other interests. It should no longer be possible to speak about corruption and the judiciary in one breath," said Dr Mutunga.

He said Kenyans had a responsibility to monitor, report and ensure that the judiciary is accountable to all.

The CJ urged lawyers to uphold integrity and challenged them to radically lift the ethical standing and conduct of members of the profession.
 
dnkibaki2006c.jpg

President Mwai Kibaki presents the new Constitution to Chief Justice Willy Mutunga during the swearing-in ceremony at State House, Nairobi on June 20, 2011. Photo/PPS

dnkibaki2006d.jpg

dnkibaki2006h.jpg

Ms Nancy Baraza is sworn in as the new deputy Chief Justice at State House, Nairobi on June 20, 2011.

dnkibaki2006gh.jpg

Mr Keriako Tobiko is sworn in as Director of Public Prosecutions (DPP)

dnkibaki2006e.jpg

President Mwai Kibaki (centre), Prime Minister Raila Odinga (2nd from right), Chief Justice Willy Mutunga (2nd from left), his deputy Nancy Baraza (left), DPP Keriako Tobiko (right) and family members after the swearing-in ceremony at State House, Nairobi on June 20, 2011. Photo/PPS
 
mmenisikitisha jirani na watani zangu.....! BWABWA...CHAKLA CHAI JABA AWA JAJI MKUU KENYA????!!!!????
MY TAKE:
JK UKICHAGUA/UKITEUA JITU SHOGA....... RASMI NITABADILI MAAMUZI YANGU
 
mmenisikitisha jirani na watani zangu.....! BWABWA...CHAKLA CHAI JABA AWA JAJI MKUU KENYA????!!!!????<br><strong><font size="4">MY TAKE:<br>JK UKICHAGUA/UKITEUA JITU SHOGA....... RASMI NITABADILI MAAMUZI YANGU<br></font></strong>
 
Despite heren thing of which mi sioni ni issue...Wakenya wamejipanga sana kwenye mambo yao. They are serious in what they do....hebu angalia mchakato unavyokwenda tangu new constitution, mpaka utafurahi mwenyewe hamna ubabaishaji.
 
Willy Mutunga has taken office as Kenya's Chief Justice with a vow to help recover public trust on the judiciary.
Speaking at the steps of the Nairobi Law Courts moments after he was sworn into office, Dr Mutunga said "it should no longer be possible to speak about corruption and the judiciary in one breath."
He said: "I commit, at the personal and institutional level of the judiciary, to ensure that the courts are accessible to and for all and that the rulings, judgments and pronouncements from the judiciary quench the thirst of the just and uphold the deeds of the law-abiding."
Dr Mutunga was sworn into office at State House Nairobi on Monday together with his deputy, Nancy Baraza and the country's new Director of Public Prosecution Keriako Tobiko.
The brief ceremony was witnessed by President Kibaki, Prime Minister Raila Odinga, Justice Minister Mutula Kilonzo, Attorney-General Amos Wako among other senior government officials.
The Chief Justice has been driven to his office from where he addressed the nation.

The CJ told members of the judiciary that he will be true to his oath of office by upholding the dignity and respect for the institution.
"In return for the independence the Constitution secures for us, we as judges must guard against becoming captives of political, commercial or other interests. It should no longer be possible to speak about corruption and the judiciary in one breath," said Dr Mutunga.
He said Kenyans had a responsibility to monitor, report and ensure that the judiciary is accountable to all.
The CJ urged lawyers to uphold integrity and challenged them to radically lift the ethical standing and conduct of members of the profession.
 
Those guys are a step ahead in nearly everything. It's only tribalism that they have to work on, otherwise you can't compare them to tanzani in anyway.
 
Ofisi muhimu sana hizi (Jaji Mkuu na Mkurugenzi wa Mashitaka - DPP) kwa utawala wa sheria na demokrasia. By the way, hivi taratibu za kuwapata hawa watu wawili muhimi kwa wenzetu Kenya zikoje? Isije kuwa kama hapa kwetu ambapo inategemea mkuu ameamkaje. Kama ni kama hapa bongo basi it is almost a CRAP.
 
Hii issue ya Kenya imekaa swaaafi. Huyo mkuu "Willy Mutunga" is not your mwanasheria. Let's wait and see, atafunga watu vilivyo.
 
Mkuu kwa Kenya utaratibu wa kuwapata ulikuwa very transparent. Nafasi za CJ, Deputy CJ na DPP zilitangazwa na watu wakaomba. Baada ya maombi waombaji walihojiwa live kwenye TV za Kenya. Huyu Mutunga, Barasa na Tobiko wakapata nafasi ya kupelekwa bungeni kwa ajili ya vetting. Kukawa na majadiliano makubwa sana bungeni ila mwishowe wakapita na Rais akawateua baada ya kushauriana na Waziri Mkuu. Ilikuwa tamu sana.

Dr. Mutunga navaa heleni sikioni ila ni mwanaharakati. Kuna wakati spika wa Bunge la Kenya alimfukuza Bungeni kijana mmoja Mbunge kwa kuwa alikuwa amevaaa heleni sikioni sasa sijui siku CJ akitinga Bungeni amevaa heleni Spika atamtoa nje ama la!!! Katiba Mpya tamu sana.
 
hiyo issue ya hereni ilisababisha mbunge mmoja kupigwa ban ya 2 wks nadhani. hopefully hataharibu image ya taaluma hii muhimu. ngoja apewe nafasi
Mkuu kwa Kenya utaratibu wa kuwapata ulikuwa very transparent. Nafasi za CJ, Deputy CJ na DPP zilitangazwa na watu wakaomba. Baada ya maombi waombaji walihojiwa live kwenye TV za Kenya. Huyu Mutunga, Barasa na Tobiko wakapata nafasi ya kupelekwa bungeni kwa ajili ya vetting. Kukawa na majadiliano makubwa sana bungeni ila mwishowe wakapita na Rais akawateua baada ya kushauriana na Waziri Mkuu. Ilikuwa tamu sana.Dr. Mutunga navaa heleni sikioni ila ni mwanaharakati. Kuna wakati spika wa Bunge la Kenya alimfukuza Bungeni kijana mmoja Mbunge kwa kuwa alikuwa amevaaa heleni sikioni sasa sijui siku CJ akitinga Bungeni amevaa heleni Spika atamtoa nje ama la!!! Katiba Mpya tamu sana.
 
Mkuu kwa Kenya utaratibu wa kuwapata ulikuwa very transparent. Nafasi za CJ, Deputy CJ na DPP zilitangazwa na watu wakaomba. Baada ya maombi waombaji walihojiwa live kwenye TV za Kenya. Huyu Mutunga, Barasa na Tobiko wakapata nafasi ya kupelekwa bungeni kwa ajili ya vetting. Kukawa na majadiliano makubwa sana bungeni ila mwishowe wakapita na Rais akawateua baada ya kushauriana na Waziri Mkuu. Ilikuwa tamu sana.

Dr. Mutunga navaa heleni sikioni ila ni mwanaharakati. Kuna wakati spika wa Bunge la Kenya alimfukuza Bungeni kijana mmoja Mbunge kwa kuwa alikuwa amevaaa heleni sikioni sasa sijui siku CJ akitinga Bungeni amevaa heleni Spika atamtoa nje ama la!!! Katiba Mpya tamu sana.

Sijui kama mlifatilia mahojiano yake vizuri alieleza vizuri saaaaaana kwanini anavaa hereni na akaeleweka na ameapishwa. He is a gentleman I appreciate him bwana
 
Hii issue ya Kenya imekaa swaaafi. Huyo mkuu "Willy Mutunga" is not your mwanasheria. Let's wait and see, atafunga watu vilivyo.
Issue ya kenya imekaa safi sana. Katiba yao mpya ni kwamba CJ, PP wanaomba kazi kupitia public advertisment. Wanaandika barua na wanaitwa kwenye usaili kama watu wengine. Sasa hapo sijui itakuwaje anaewa-interview. Hii katiba yao kama inalipa vile.
 
Mkuu kama katiba ya hawa jamaa itatekelezwa vizuri na uchaguzi wa 2012 ukapita salama, basi watakuwa mbali sana katika miaka 10 ijayo. Utawala ambapo Rais anakuwa na mamlaka makubwa kupita kiasi "Imperial president" yamefutwa na katiba mpya. Upendeleo wa maendeleo kwa baadhi ya maeneo tu ya nchi umefutwa. Tuombe uzima ili tuone utekelezaji wa katiba mpya ya hawa jamaa.
 
Back
Top Bottom