mahakama ya tanzania inatarajia kupeleka jumla ya majaji wanne wa mahakama ya rufaa na mahakama kuu katika chuo mashuhuri kijulikanacho kwa jina la 'RIPA INTERNATIONAL' kilichopo nchini uingereza kushiriki mafunzo ya muda mfupi yanayohusiana na maadili ya mahakama(judicial ethics)..majaji watakaokwenda kupata mafunzo hayo ni;january msofe,MBAROUK MBAROUK wa mahakama ya rufani..wengine ni stella mugasha na shaabanlila wa mahakama kuu
mafunzo ni ya wiki moja kuanzia tarehe 24.09.12 london uingereza.
SOURCE:MAJIRA,12.09.2012
Jamani mimi naomba kuuliza tu, hivi kama mtu aliferi form four baadaye akatengeneza cheti cha kijanja mpaka akapata Degree kihalali, hivi huyu kesi yake ikoje? naomba jibu kabla sijalipuwa bomu.
N:B, Mkumbuke miaka ya nyuma ulikuwa unaweza kufoji cheti cha form four na kuendelea na Elimu ya juu bila kukalili darasa, kwahiyo sitalajii swali kuhusu hilo.
kazi ya tundu lissu inazaa matunda..magamba wanadhani watz wote wamelala...bado kuhoji bachelor ya jk kama ni halali
mahakama ya tanzania inatarajia kupeleka jumla ya majaji wanne wa mahakama ya rufaa na mahakama kuu katika chuo mashuhuri kijulikanacho kwa jina la 'RIPA INTERNATIONAL' kilichopo nchini uingereza kushiriki mafunzo ya muda mfupi yanayohusiana na maadili ya mahakama(judicial ethics)..majaji watakaokwenda kupata mafunzo hayo ni;january msofe,MBAROUK MBAROUK wa mahakama ya rufani..wengine ni stella mugasha na shaabanlila wa mahakama kuu
mafunzo ni ya wiki moja kuanzia tarehe 24.09.12 london uingereza.
SOURCE:MAJIRA,12.09.2012
Mahakama ya Tanzania inatarajia kupeleka jumla ya majaji wanne wa mahakama ya rufaa na mahakama kuu katika chuo mashuhuri kijulikanacho kwa jina la 'RIPA INTERNATIONAL' kilichopo nchini uingereza kushiriki mafunzo ya muda mfupi yanayohusiana na maadili ya mahakama(judicial ethics)..majaji watakaokwenda kupata mafunzo hayo ni; January Msofe,MBAROUK MBAROUK wa mahakama ya rufani..wengine ni Stella Mugasha na Shaaban Lila wa mahakama kuu
mafunzo ni ya wiki moja kuanzia tarehe 24.09.12 London Uingereza.
SOURCE:MAJIRA,12.09.2012