Halisi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2007
- 2,802
- 614
Kuna taarifa zisizo rasmi kwamba, NCCR-Mageuzi wanapanga kumsimamisha Jaji Robert Kisanga katika nafasi ya Uspika, hatua ambayo inaelezwa kuweza kuwasukuma Chadema na CUF kumwachia. CUF wamewaachia Chadema waliomsimamisha Mabere Marando, na Hamad Rashid amejitoa na kuwaunga mkono Chadema. Kisanga anaweza kushinda kwa kuwa CCM wataona afadhali ya NCCR kuliko Chadema kukalia kiti. Huu ni mwaka wa Mageuzi.