Elections 2010 Jaji Kisanga kuwania Uspika NCCR-Mageuzi, Sitta Uwaziri!!!

Halisi

JF-Expert Member
Jan 16, 2007
2,802
613
Kuna taarifa zisizo rasmi kwamba, NCCR-Mageuzi wanapanga kumsimamisha Jaji Robert Kisanga katika nafasi ya Uspika, hatua ambayo inaelezwa kuweza kuwasukuma Chadema na CUF kumwachia. CUF wamewaachia Chadema waliomsimamisha Mabere Marando, na Hamad Rashid amejitoa na kuwaunga mkono Chadema. Kisanga anaweza kushinda kwa kuwa CCM wataona afadhali ya NCCR kuliko Chadema kukalia kiti. Huu ni mwaka wa Mageuzi.
 
Tetesi hizo zinasema Sitta anaweza kupoozwa kwa kupewa uwaziri hata Uwaziri Mkuu ama Wizara ya Utawala Bora akapambane na Ufisadi vizuri.
 
Kuna taarifa zisizo rasmi kwamba, NCCR-Mageuzi wanapanga kumsimamisha Jaji Robert Kisanga katika nafasi ya Uspika, hatua ambayo inaelezwa kuweza kuwasukuma Chadema na CUF kumwachia. CUF wamewaachia Chadema waliomsimamisha Mabere Marando, na Hamad Rashid amejitoa na kuwaunga mkono Chadema. Kisanga anaweza kushinda kwa kuwa CCM wataona afadhali ya NCCR kuliko Chadema kukalia kiti. Huu ni mwaka wa Mageuzi.

CCM hawawezi kumpatia uspika mtu yeyote asiye miongoni mwao. Ila kama kweli wabunge wa CCM wanataka kurudi bungeni 2015 either kwa kupitia CCM au upinzani basi hawana budi kumchagua mtu makini badala ya aliyesimamishwa na chama. Tunajua wazi kuwa katika waliosimamishwa na CCM hakuna mwenye guts za kuwakoromea mafisadi.
 
Kuna taarifa zisizo rasmi kwamba, NCCR-Mageuzi wanapanga kumsimamisha Jaji Robert Kisanga katika nafasi ya Uspika, hatua ambayo inaelezwa kuweza kuwasukuma Chadema na CUF kumwachia. CUF wamewaachia Chadema waliomsimamisha Mabere Marando, na Hamad Rashid amejitoa na kuwaunga mkono Chadema. Kisanga anaweza kushinda kwa kuwa CCM wataona afadhali ya NCCR kuliko Chadema kukalia kiti. Huu ni mwaka wa Mageuzi.

Ingelikuwa yawezekana nigelifurahi sana kumuona muadilifu na mstaarabu wa kweli Judge Kisanga anachukua nafasi hiyo. Hata hivyo siamini kama atakubali hilo na hata kuchaguliwa ukitilia maanani ni CCM ndio wenye kuamua na kamwe hawawezi kujidanganya kumpa uspika asiye mmoja wao....

Kama kuna watakao-rebel hawatazidi kumi na kama itakuwa kura ya wazi sidhani kuna hata mmoja atathubutu kufanya hivyo....
 
Tetesi hizo zinasema
Sitta anaweza kupoozwa kwa kupewa uwaziri hata Uwaziri Mkuu
ama Wizara ya Utawala Bora akapambane na Ufisadi vizuri.
Nilikuwa na waza hivyo pia.Lazima watampooza Uwaziri Mkuu au kijiwizara iliasifurukute na wapambe wake waone wanasauti pia.
Ila wakimtosa kabisa wanajichimbia kaburi wenyewe na kusaidia kambi ya upinzania tusubiri tuone.
 
SIMBA akilowana usidhani PAKA.......! hii ni warning kwa wanaoidharau CCM.........! na ujumbe kwa CCM...ngoma ivumayo sana hupasuka.....! na wakristo husema hivi...AONYWAYE MARA NYINGI..AKISHUPAZA SHINGO ..ATAVUNJIKA NA ASIPATE DAWA.....!
 
Hili ni bunge la wapambanaji!!!!!!!!!!!!! Spika aliyeonyesha kwa vitendo kuwa ni mpambanaji huyo ndiye!!! Sijui huyu Jaji ana sifa hizi?? Siyo suala la kujua kufunga watu au kuhukumu watu kunyongwa!!!!!!!!!! Kwangu mimi ni Mwanamageuzi na mpambanaji Mabere Marando!!! Utaona kuona jina hili ulimwengu wa mafisadi unahema kwa hofu!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Walicho mfanya simba unafikiri watamkumbuka hata kwenye uwaziri?tena uwaziri ni demort kwa sitta
 
Wakuu hilo Sofia Lion ni kweli? Na hisi kama ni kweli maana mkwere hatamaniki kabisa anaweza kumwaga uPM kwa lion. Ngoja tusubiri kuona majimambo mwaka huu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom