Jaji huyu achunguzwe haraka

Hivi kuna utaratibu wa kizipitia hizi hukumu kuona ni za haki?
Na je hizi pesa za hukumu zilipokelewa? Au nazo zinaliwa?
 
Meno na kucha zilikuwa na thamani gani? Nadhani kavuna bilion kadhaa
 
Hata sisi tusioenda shule tumeshangazwa na hiyo hukumu.
 
I see
 
Kata rufaa kama hujaridhika..
 
Mtoa mada nadhani amekurupuka, kuna dhana inaitwa independence of judiciary, ukiisha ilewa uje sasa kivingine. Hapa brother ume-expose your ignorance

usituletee mambo yenu ya ujanja ujanja hapa ndo mana kila siku mnashindwa kesi coz rushwa imewajaa, maskini vijinin wanafungwa kila siku kisa kakutwa na mkia wa nyani! wenye pesa ndo mnawatafutia ivyo vifungu vyenu, shame
 
Manyerere Jackton namsikiaga sana, hivi ni wapi? CCM au? Mwandishi wa habaria au? You might not be knowledgeable of law but at least you are informed!
 
Wewe ni nani? na unajua sheria inasemaje kuhusu hyo kesi? au unadhan anashauriana na mkewe anakuja kutoa maamuzi? Cha msingi badilisheni sheria hizo ziendane na uzito wenyewe
Abadilishe sheria kwani ye ni chombo cha sheria...halafu ye katoa kama ushauri kuwa jaji achunguzwe we umekuja mbiombio na kebehi au jaji anakuhusu
 
Jaji ni kada.....katibu wao ndio baba lao kwa hiyo biashara
 
Wenda serikali ya ccm kama hilivyo wamechukua pesa nyingi tayari hapo wenda mkuu yupo sasa wamefunika kombe kwa raia eti mill 10.au ilikuwa billion 10

Swissme
 
China tunafungwa maisha
 
Abadilishe sheria kwani ye ni chombo cha sheria...halafu ye katoa kama ushauri kuwa jaji achunguzwe we umekuja mbiombio na kebehi au jaji anakuhusu
Wewe unaesema jaji achunguzwe unajua hyo sheria inasemaje? inampa jaji uwezo wa kufanya maamuzi gan na kosa hilo lina adhabu gan? kama hujui basi funga bakuli lako ukalime uache kulalamika tu
 
Wewe unaesema jaji achunguzwe unajua hyo sheria inasemaje? inampa jaji uwezo wa kufanya maamuzi gan na kosa hilo lina adhabu gan? kama hujui basi funga bakuli lako ukalime uache kulalamika tu
Wewe unaejua mbona umetapika tu bila kueleza ukweli,kwanza mtoa mada kashauri achunguzwe kulingana na adhabu aliyotoa ila wewe ndo umeanza kumshambulia..muda mwingine stress zenu za maisha mzimalize kwanza ndo mchangie mana mnakuwa vituko
 
Huyo aliesuggest mwambie anataka atoe adhabu gan ambayo ipo pale ... Jaman tuache mizuka
 
Kwa mjibu wa sheria ya
Wanyamapori Na.5 ya 2009 kifungu cha 86(1) inakatazaa kumiliki, kuuza, kununua au kujihusisha kwa namna yoyote na nyara za serikali. Kifungu kidogo cha (2) cha fungu hilo la 86 kina vipengele (a) na (b) vinatoa maelekezo sahihi namna ya kutoa hukumu kwa anayevunja kifungu (1) kutegemea kwamba mnyama ambaye nyara husika imekamatwa anapatikana kwenye sehemu gani ya jedwali. Kwa mfano tembo yuko kwenye sehemu ya kwanza ya jedwali namba 1 na thamani yake ni zaidi ya laki moja, hivyo faini yake inatolewa na kifungu cha 86(2)(b) na inatakiwa iwe si chini ya mara 10 ya dhamani ya mnyama. mfano tembo ni kati ya dola 18000 hadi 20000 sawa na mil 37 au 41 sasa ukizidisha mara 10 utapata ni bilion kadhaa. Na Hakimu au jaji ameagizwa ktk kifungu 86(3)(a)&(b) namna ya kutoa hukumu kulingana na "certificate of value of trophies", Hivyo basi kuna mawili; Jaji anaweza akawa sahihi au wrong kutegemea na Afisa aliyeandaa "Certificate of Values of trophies", kama aliandaa vyema kwa mujibu wa "Valuation of Trophy Regulation" basi jaji yupo wrong ila kama aliandaa vby basi jaji anaweza kuwa sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…