Totos Boss
JF-Expert Member
- Dec 30, 2012
- 5,456
- 1,569
Mbona wamejitosa wengi na hawakufika hiyo 5 bora itabidi tuweke special thred kwakila mmoja wao.
Ukimpa mwanasheria nchi kila siku itakuwa kulumbana mahakamani tu na mara nyingi wanasheria wengi huwa wanajua sana kuongea lkn action 0, ngoja muone utawala wa mwanasayansi sasa ni vitendo tu maneno hawajuagi mara nyingine hata kiingereza ni shida kwa wanasayansi lkn action ni 100 100Kwako MH.Jaji najua ulishauriwa vibaya kwenda mbiombio kuchukua form ya kugombea urais wa Tanzania, ila ulisahau unagombea kupitia chama kilekile kilcho kataa katiba yenu mlioiandaa! ulikatwa mapema hata 5 bora huku iona! japo ulikuja na sera ya chema cha jiuza! imekua chema cha jiinamia kwa aibu na huzuni! pole jaji hiyo ndo ccm naona hukupima kina cha maji umeenda mzima mzima ukazama!
Kwa niaba yake maamuzi ya chama yaheshimiwe demokrasia imechukua mkondo wake.
Huyo Mwanaka inaelekea haijui Katiba ya nchi.Anakuwaje waziri mkuu wakati sio mbunge au unaropoka tu
It is very true Wabuyaga.Nani anabisha kuwa DEAL ya kupata candidate aliye mtaka MKULU imekufa bila kutegemewa?
MKULU hakutegemea kuwa baadhi ya wanakamati wa CC watatoka nje na kueleza kutofuatwa kwa taratibu za kuwapata 5 bora. Ilikuwa ni kama imetoka kwa Mwenyezi Mungu yaani hao (DR. Nchimbi, Mhs Sofia Simba na Mhs Adam ..) WALIKUWA MALAIKA WAKE!
WANA JF hatuna budi kuwashukuru hawa jamaa hata kama walikuwa wako kwenye kambi ya EL. Maana bila hivyo huyo jamaa wa KUSINI alisha tayarishwa! Imekula kote yaani kwa MUKULU pamaoja na EL.
Kwa taarifa yenu huyo ndo waziri mkuu wa serikali ijayo amini nakwambia
Kwako MH.Jaji najua ulishauriwa vibaya kwenda mbiombio kuchukua form ya kugombea urais wa Tanzania, ila ulisahau unagombea kupitia chama kilekile kilcho kataa katiba yenu mlioiandaa! ulikatwa mapema hata 5 bora huku iona! japo ulikuja na sera ya chema cha jiuza! imekua chema cha jiinamia kwa aibu na huzuni! pole jaji hiyo ndo ccm naona hukupima kina cha maji umeenda mzima mzima ukazama!
Mkuu kwani baada ya hapo si unafuata uchaguzi mkuu sasa unaposema huyu ndo waziri mkuu mbona hueleweki ebu fafanua tafadhali
Natamani kumuona nchimbi akihojiwa wakuu.
bora alikatwa mpuuzi huyu alipinga mgombea mweza kwa kukusanya majaji wote wa mahakama ya rufaa....alidhani ccm wajomba na shangazi zake.
Wacha 5 bora hakujadiliwa kabisa!!!