Jenerali Ambamba
JF-Expert Member
- Sep 8, 2014
- 3,344
- 2,537
jk. kamwingiza mjini na kamuacha mjini.
Kwa taarifa yenu huyo ndo waziri mkuu wa serikali ijayo amini nakwambia
Atapewa ubunge na Mzanzibar mwenzie 'Mh. Rais mtarajiwa mama Amina' kama alivyopewa ubunge Muhongo kisha akateuliwa kuwa wazir wa nishati na madini, naye Jaji atakuw PM kwa njia hiyo.