Apta Kayla
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 324
- 73
ushaambiwa itv breaking news! au unataka barua ya Luhanjo kabisaSource please!
Wachunguze 'upitishaji' wa budget kwa wizara zote sio hii ya Nishati na Jairo peke yake. Barua yake Jairo ya mchango imetumia maneno "kama ilivyo kawaida" what kawaida?
Soma kwanza dogo.Unakurupuka tu kama mwenyekiti wa kundi lenu.Source please!
home workSource please!
Kwa hiyo hasira zote za wabunge lilikua si kutokana na bajeti mbovu wala kukosekana kwa umeme bali zilikua hasira za kutukanwa??? Asinge watukana je ndiyo wasinge mchukulia hatua???
anayempa kibu ni kilazi kikwete
Yatasemwa meeeeengi katika hili, ukweli utabaki pale pale kwamba Jairo ni "bangusilo".
Hakika! Tutakapokataa kuwa "bangusilo" Nchi hii itapiga hatua katika kutatua kero mbalimbali zinazotukabili. Pamoja Mkuu.Ukisikia tamaa ya madaraka ndo hiyo ... kwa nini mtu ukubali kutumika kama bangusilo? Mwache aipate freshi na ma-bangusilo wengine watie akili.
haupo makini,si umeambiwa ni ITV?Source please!
Waziri Mkuu hana uwezo huo na kitu cha kushangaza zaidi hakujua mipaka yake. Hilo jambo liko chini ya Mkuu wa Utumishi wa Umma (Katibu Mkuu Kiongozi) ambaye atatoa mapendekezo kwa Rais kuhusu namna ya Kushughulikia jambo hilo kuanzia Uchunguzi hadi utoaji adhabu.Hivi ina maana Waziri mkuu hana mamlaka ya kumsimisha a civil servant' kama katibu mkuu hata kwa muda kupitisha uchunguzi mpaka Rais afanye hivyo mwenyewe? Na kwa issue hii ambayo Rais alikuwa nje ya nchi, kiongozi anayekaimu ni ceremenial au? Kwa nini Rais baada ya kupigiwa simu asiseme yafinyike yaliyofanyika leo? strange!
Source please!