Unasoma kwa kupapasa? Si umeambiwa itv breaking news..Source please!
sasa Luhanjo na Ngeleja wapi na wapi? Huelewi tu kuwa Ngeleja sio saizi ya Luhanjo wala Pinda wala Ustaadh Bilal? Msubirini Mkwer.e arudi tuamesema nini kuhusu ngeleja na watu wake, hiyo cabinet itafanya vipi kazi chini ya ngeleka kama mkuu wa wizara.!? Hili ni changa la macho wangestep down wote afu ndo uchunguzi ufanywe..
Kilikuwa na baraka za Rev Fr Masanilo
Thibitisha..Huu niuonezi wa wazi! Sikubaliani kabisa na uamuzi wa serikali....hivi Jairo alichokuwa anafanya sikilikuwa na baraka za waziri na naibu waziri wake? Iweje rungu limwangukie yeye? I hate Tanzania.
Breaking news,hivi punde Katibu wa wizara ya nishati na madini Bwana,David Jairo amesimamishwa kazi,taarifa hiyo imetolewa na katibu mkuu kiongozi philemon Luhanjo ,amesimamishwa ili kupisha uchunguzi wa tuhuma anazokabiriwa nazo.source ITV breaking news.
Nilisha comment kwenye ukurasa huu toka jana kuwa Kuwajibika pekee kwa serikali juu ya hili ni kumshtatim Jairo na Ngeleja na si kuwasimamisha kazi. Washitakiwe na haki dhidi ya watanzania walipakodi ionekane ikitendeka Karamagi Mabaha na Lowasa walijiuzulu hawajashtrakiwa adi leo. Chenge amefanya madudu yupo anapeta na serikali ilithubutu kumsafisha hajashtakiwa hadi leo. Jamani tuamke huu ni mchezo sasa.Walioiba kuku wanahukumiwa mara moja ila hawa wezi na wahujumu uchumi tunawaacha watanzania tusikubali.Breaking news,hivi punde Katibu wa wizara ya nishati na madini Bwana,David Jairo amesimamishwa kazi,taarifa hiyo imetolewa na katibu mkuu kiongozi philemon Luhanjo ,amesimamishwa ili kupisha uchunguzi wa tuhuma anazokabiriwa nazo.source ITV breaking news.
Mkuu singida kwema?huyu Anna Makinda ndiyo anatakiwa aondoke pale ..... nchi itaendelea kupiga mark time .....
Breaking news,hivi punde Katibu wa wizara ya nishati na madini Bwana,David Jairo amesimamishwa kazi,taarifa hiyo imetolewa na katibu mkuu kiongozi philemon Luhanjo ,amesimamishwa ili kupisha uchunguzi wa tuhuma anazokabiriwa nazo.source ITV breaking news.
Mkuu singida kwema?
Unaijua sheria ya kazi au unaongea kishabiki tu?
Kwa nini TAKUKURU wasichunguze na kupeleka kesi mahakamani, kwa nini CAG ili kulefusha mambo, uozo mtupu!!!!!!! Magambazi in action!!!!!!!!! HATUDANGANYIKI!!!!!!!!!Hawajasema lolote,eti amepisha uchunguzi jukumu alilokabidhiwa CAG,kwanini hajafukuzwa kazi kabisa?
huku nikopoteza mda na rasilimali za nchi uchunguzi gani wakati barua inajitosheleza??? au wanataka kusema ile hela ilikuwa for stationaries..!!!
Breaking news,hivi punde Katibu wa wizara ya nishati na madini Bwana,David Jairo amesimamishwa kazi,taarifa hiyo imetolewa na katibu mkuu kiongozi philemon Luhanjo ,amesimamishwa ili kupisha uchunguzi wa tuhuma anazokabiriwa nazo.source ITV breaking news.
hapana mkuu ni ya kuwapatia chai na gahawa wahishimwa saaana!!huku nikopoteza mda na rasilimali za nchi uchunguzi gani wakati barua inajitosheleza??? au wanataka kusema ile hela ilikuwa for stationaries..!!!