mafutamingi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,775
- 2,198
Tushaiona au umeisha iona???? wewe na nani? usisemee wengine tafadhali
Kwani tunauhakika gani ni yakwake?
Ikigundulika shelukindo amelidanganya bunge kwa barua feki,,achukuliwe hatua gani?
Kama TAKUKURU wako serious, waongeze wigo wa uchunguzi, wapitie akaunti zote za Idara za serikali zilizoko hapo Dodoma yaani hiyo Geological Survey (Madini), Msalato na Bihawana Secondary (Elimu), Isanga Prisons (Mambo ya Ndani), Mirembe Nursing School (Afya), Makutupora JKT (Ulinzi) nk; hizi zote inawezekana ziunatumiwa kupitisha mafungu ili zitumike kuhonga wabunge. Na hasa wachunguze zile transfer kubwa kubwa za funds katika kipindi cha March hadi August. Naamini kwa kuwa wao ni wataalamu, basi watajua technic nzuri zaidi ya mapendekezo yangu. Lakini nikikumbuka uchakachuaji wa uchunguzi wa awali wa Richmond, basi na-reserve my comments kama hawa TAKUKURU wanaweza chukua maamuzi magumu!!!
[Kifupi hayo "mawasiliano" ndo mpango mzima.
Mkuu Mtazamaji soma vizuri hiyo barua. Hata hivyo mimi naona ameandika akijua likilipuka atajihami kimtindo. Let us wait and see!!!!!!
Kama TAKUKURU wako serious, waongeze wigo wa uchunguzi, wapitie akaunti zote za Idara za serikali zilizoko hapo Dodoma yaani hiyo Geological Survey (Madini), Msalato na Bihawana Secondary (Elimu), Isanga Prisons (Mambo ya Ndani), Mirembe Nursing School (Afya), Makutupora JKT (Ulinzi) nk; hizi zote inawezekana ziunatumiwa kupitisha mafungu ili zitumike kuhonga wabunge. Na hasa wachunguze zile transfer kubwa kubwa za funds katika kipindi cha March hadi August. Naamini kwa kuwa wao ni wataalamu, basi watajua technic nzuri zaidi ya mapendekezo yangu. Lakini nikikumbuka uchakachuaji wa uchunguzi wa awali wa Richmond, basi na-reserve my comments kama hawa TAKUKURU wanaweza chukua maamuzi magumu!!!
waziri mkuu katuambia amepata maagizo mapya uchunguzi unaendelea anaondokaje wakati wa uchunguzi asielete ujinga
maskini NgeLeja na malima wamemtosa hivihivi mwenzao kwani asingeweza kuandika hiyo barua kama hakuagizwa na wakubwa wakeHabari kutoka Dodoma zinaarifu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini amejiuzuru Rasmi wadhifa huo
More to follow
Mama upo nchni gani? PCCB hawana utaalam wowote kwani hukuona utaalam wao wakati wa sakata la rada na Chenge, Richmond na Dowands hukusikia matamko yao? inatakiwa ifutwe hiyo walahusiifikire hata kidogo.
Shellukindo alisasambua kuwa bahasha zilianza kutembezwa kwa baadhi ya Wabunge, kwani yeye ni miongoni mwa wale waliofikishiwa bahasha hiyo lakini Mungu akamsaidia akazikataa. sasa jiulize ni wabunge wangapi wa CCM waliopewa hizo Bahasha na kukaa kimya!!!!. kazi kwelikweli.Mbona barua haisemi hiyo hela ni kwa ajili ya kuhongea wabunge? naona tu hapo anaeleza kwamba maafisa wa wizara watakuwa Dodoma kwa ajili ya kutoa ufafanuzi. Labda hiyo hela ilikuwa ni kwaajili ya hao maafisa wa wizara?
Halafu cha pili anasema kama ilivyo kawaida. So ina maana hili ni jambo ambalo huwa linafanyika kila mwaka!! So why do we blame him. Nafikiri ndiyo maana hata Kikwete ameshindwa kutoa maamuzi katika hilo. The only solution here, wabunge wa upinzani waibue move ya kutokuwa na imani na serikali. Maana kwa barua hii, ni dhahiri kwamba serikali nzima ndiyo ipo hivyo. Ipigwe kura ya kutokuwa na imani na serikali iliyopo madarakani full stop!!
juzi waziri mkuu ameongea na jk ...pinda kaeleza kila kitu kwa marefu yake....unajua mkuu alijibu? alisema hiyo barua unayo hapo? naomba nitumiwe....pinda akanyoosha sentesi ya kufukuzwa kazi kwa katibu huyu mkuu na waziri wake kama kwa uzembe ......bado jk bado akawa hana kauli ya mwsho sana sana..aliomba hiyo barua ili ajiridhishe kwa kusema kuwa hataki kufanya maamuzi pasipo uhakika....akaomba kuongea na ngereja na jairo juu ya tuhuma na pia atumiwe barua.....
jana mchana pinda akaongea nae na kumwambia kuwa kwa hali ilivyo hakuna jinsi jairo akabaki ndio Raisi akamwamba pinda aziagize takukuru wafanye uchunguzi juu ya tuhuma hizi kama ni kweli au fabricated......