Jairo ajiuzulu wadhifa wake

Status
Not open for further replies.
ahsante babaa!
 
Usaniii huu hawezi kujiuzulu wanamtengenezeaa namna kumsafisha na Pinda atapindisha maneno na kuomba radhi utaniambia tulieni tu
 

katiba hairuhusu jombaa... ama unataka serikali ya muafaka? awaachie nchi waongoze
 
Kwani tunauhakika gani ni yakwake?

Ikigundulika shelukindo amelidanganya bunge kwa barua feki,,achukuliwe hatua gani?
 


Mkuu unaeleweaje maneno "......ili kufankisha mawasiliano ya hotuba ya bajeti "

Jaribu ku decode hilo neno huku ukizingatia. yafuatayo.......

  • bajeti inasomwa kwa kiswahili haiitaji kutafisiriwa wa lugha nyingine . na wabunge wanegi wanakielewa
  • Hakuna wabunge wenye mtindio wa akili na ubongo kiasi cha kuhitaji mawasiliano na lecture ya zaidi nje ya mfumo wa Bunge ili kuilewa bajeti
  • Wajibu wa bajeti na kufanikisha bajeti ni wa wizara kitendo cha wizara kuomba idara ziachangie wenye majuku yake kinaonyesha mapungufu zaidi ya rushwa. Ina maana wizara imetenga hela kwenye zile idara amabaz hazina kazi. So unamasiaidia mtu milioni kumi kisha unamwambia una shida akusaidie milioni moja. Inaingia akili hiyo !!!!!!!!
Kifupi hayo "mawasiliano" ndo mpango mzima.
 
ndugu David Jairo

tafadhali rudisha hilo shangingi kwanza halafu karibu sana hapa jamini


kila chenye mwanzo kina mwisho
 
Duh hivi eee.....ni machungu tu dada yangu jinsi mambo yanavyoendeshwa.....

Ni kweli inauma na kuleta hasira sana.......watu wachache wanaendelea kufaidi mamilioni ya watz wanaendelea kuwa masikini kila siku...
 

Duh kwahiyo huu upupu ulishapita kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini???. (Bila shaka hapo Mlungula ulitipita)

Pia hapa ninaona kuna serious case of fraud.., na hii (GST) inabidi ichunguzwe tuone ni maovu mangapi huwa yanapita huko kwa mwanvuli wa Survey..
 
Habari kutoka Dodoma zinaarifu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini amejiuzuru Rasmi wadhifa huo

More to follow

Mkuu bado tu hujapata za nyongeza?

Kama amejiuzulu hiyo ni haki yake kabisa na kama hajajiuzulu inabidi afukuzwe yeye pamoja na Waziri na Naibu Waziri wake. Mimi sioni kwa hili Mgeleja na Malima wataponea wapi? Shelukindo kawakamata chini ya mkanda!! Itakuwa ni miuzjiza Ngeleja na Malima wakipona.
 
nilidhani barua ya kujiuzulu kumbe hiii? Tushaiona!

Usitumie nafsi yako kuwakilisha wengine bila ridhaa yao. Wapo watu kibao ambao walikua bado hawajaiona. Na kama ulishaiona ungenyamaza kimya pia ingetosha...1 AMA UNGETUWEKEA HAPA JAMVINI NA SISI AMBAO TULIKUWA BADO HATUJAIONA TUIONE.
 
Anastahili pongeza kwa kufahamu nini maana ya kuwajibika. Waziri na Naibu Waziri aliyewasilisha bajeti isiyoondoa tatizo watapewa nafasi ya kwenda kusimama mbele ya Bunge na kusoma bajeti ingine? Watafakari na kuchukua uamuzi unaofaa

Kujiuzulu kumbe dili, naona kila anayejiuzulu anapongezwa na kuonekana shujaa bila kujali uozo alioufanya
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…