Jairo ajiuzulu wadhifa wake

Status
Not open for further replies.
leo utashua/pandisha chati yako hapa JF
Ikiwa unadanganya badilisha kabisa ID yako manake ntakuporomoshea matusi ya kitandani kila nikuonapo
 
Walipaswa kuanza kujiondoa Ngeleja na naibu wake cozi nchi wameipaka kinyesi cha giza, tena tunaenda kazini bila kunyosha nguo zetu!
 
Kumwacha mwizi, au mhalalisha wisi, au mficha uovu wa aina yoyote ile astahafu kwa heshima, ni sawa na kubariki uovu. Mapendekezo ya aina hiyo yanahalalisha uovu. Hata kesho mtu akikosea anastahafu kwa heshima na yule anayepewa kiti chake anafanya madudu yake akionekana anapewa nafasi ya kustahafu kwa heshima na nchi inaangamia tu. hii nadharia ndiyo iliyotuleta hapa.
 

NAKUAMINIA MKUU! be blessed.
 
Ashtakiwe kabisa kujiuzulu haitoshi!
 
Kama ni kweli amejiuzulu, basi nampa hongera kwa kujua kuwajibika maana yake nini! Baada ya kujiuzulu, then sheria inafuata kutenda!
 
Tanzania bila rais inawezekana!!!???

....naona ujenzi wa mnara wa 'BABEL' ya TZ unazidi kunoga. Sasa walikaa wakamtuma Bw. Jairo alete tofali yeye naona kawapelekea ubao! Yetu macho lakini anguko liko wazi tatizo ni kuwa kati yetu ni wachache wanaojua itachukua muda gani!
 
nakubaliana na wewe kufukuzwa kazi ndo ingekuwa sulution, sasa amejiuzuru na MAFAO yoote anapewa khaaa
MIAFRIKA BANA!
 
Kama kweli amejiuzulu basi amefanya jambo la kiuungwana sana!!
 

GR Habari zako sihitaji source, Nimeziamni moja kwa moja baadaya ya kuona kuwa muanzilishi GR. Lete News GR
 

I concur with you 100%. Kwani huenda hata hizo bajeti za wizara zilizopita zilipitishwa kwa njia hiyo hiyo ya Rushwa. Maana ni miujiza tu tuliyokuwa tunaishuhudia toka kwa Mitakataka ya CCM, inapochangia inatoa kasoro kibao, wakati wa kupiga kura inafungua mamidomo yao makubwa NDIOOOOOO!!! Utadhani yamekatwa kichwa na sasa yameamua kufikiri kwa kutumia mikia yao. Kumbe huwa inahongwa bwana! Asante Mungu kwa kuwaumbua wanafiki na endelea kuwaumbua.
 
Mi naona kama kachelewa angejiuzulu tokea juzi.........na Ngeleja naye anasubiri nini??? Yani nina hasira na hawa watu!!!!!
 
Mi naona kama kachelewa angejiuzulu tokea juzi.....mshenzi wa adabu pumbavu zake....na Ngeleja naye anasubiri nini??? Yani nina hasira na hawa watu!!!!!

taratibu JS............angalio hiyo lugha unayotumia!
 
he anajiuzulu vipi kabla hatujamfukuza inamaana walikuwa wana negotiate naye siku hizi mbili nini?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…