JIULIZE KWANZA
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 2,569
- 500
Anajua kama rais wake katua toka safari ya mwezini?
Kwa hii kitu sidhani kama hatapona ni ngumu mno kumeza , maana hata account namba aliyofanya mamboz inajulikana
kama wanataka kufanya cover up itakuwa mbaya zaidi
View attachment 34161
ngoja tumsubilie kikwete kama anaweza kufunika na ili
Pinda kakanusha anasema labda jairo kaipeleka hiyo barua kwenye vyombo vya habari lakini sio kwake hivo anamsubiria JK Atue bongo kutoka kwa madiba ndio ataamua ila yeye na ofisi yake hana taarifa yeyote TBC News imerushwa muda sio mrefu
Inasemekana TZS 1bn/- zimekusanywa, tukichukua idadi ya wabunge 320 kila mmoja angelamba 3.125m/-, Loo! Aibu sana. Mapato haramu kabisa!
Jamaa ameshindwa hata kukopi and paste from Mkapa. Wakati yeye Kikwete akiwa ni waziri wa mambo ya nje, safari nyingi za nje alikuwa anakwenda yeye, Mkapa alimwamini kama mwakilishi mzuri wa taifa (japo wakati mwingine inasemekana alikuwa anaacha mikutana na kwenda kujirusha na vimada). Lakini cha kushangaza yeye leo kamteua Membe kuwa waziri wa mambo ya nje, halafu mambo yote yanayohusiana na mambo ya nje anafanya yeye!! Membe ni kama sanamu tu. Kikwete ni kama hamuamini yeyote. Na hilo ndilo linalowapa wakati mgumu mawaziri wake katika suala zima la kufanya maamuzi na kufanya kazi kwa ubunifu. Kikwete ni zero kabisa.
kwani kikwete hajatua? Mbona nimesikia habari zake zinazohusi wawekezaji kwenye taarifa ya saa 7 mchana ikionyesha hiyo kauli kaitoa leo asubuhi akiwa nchini?
kwa umbumbumbu huu wa magamba, sipati picha 2015 kutakuwaje, bila shaka patachimbika, eee, mola nijalie japo nione kitakachotokea 2015.
Kwa hii kitu sidhani kama hatapona ni ngumu mno kumeza , maana hata account namba aliyofanya mamboz inajulikana
kama wanataka kufanya cover up itakuwa mbaya zaidi
View attachment 34161
ngoja tumsubilie kikwete kama anaweza kufunika na ili
tumwacheni nae JAIRO astaafu kwa heshima kama tulivyozoea kwa viongozi wengine waliostaafu kwa heshima kwa makosa waliofanya.
kumshindikiza jairo aadhibiwe hatumtendei haki