Jafo na Simbachawene mnangoja nini kujiuzulu?

ZigiZaga

JF-Expert Member
May 18, 2011
942
1,057
Sasa hii to much!

Mmefedheshwa sana, mmedhalilishwa sana! Kazi kwenu sasa kupima na kuwajibika juu ya tamko la Ikulu!

Kuheshimika ni sasa si kesho wa juzi, fanyeni maamudhi! Hili tamko haliwatakii mema..

Kazi kwenu!
 
Wamwachie jamaa awe bunge, awe katiba na awe b.la mawaziri. Kujua kwingi
 
-->>SIONI UMUHIMU WA BUNGE
-->>SIONI UMUHIMU WA GAVANA
-->>SIONI UMUHIMU HATA WA BAADHI YA MAWAZIRI.
-->>YAANI NATAZAMA MBALI KWELI.
 
Maskini wanatia huruma....Yani Zoezi la Wamachinga lilikua limefanikiwa kwa sehemu kubwa jamaa katokea uko alikokua sijui nje ya nchi kapindua
 
Mbona unamsahau Prof. Muhongo na Dr. Kalemani? Nao wamekula za uso kwani waliwaondoa juzi wachimbaji wadogo huko Mwakitolyo na leo JPM ameagiza warudi na leseni ya mwekezaji ifutwe. Only in Tanzania kiongozi anakula za uso lakini Hajiuzulu. Kweli njaa
 
Siyo Rahisi KwAo Kujiudhurua KwakuwA Viongozi Hata Kama Ukweli Wanaujua Hawatoweza Hata Kutishia
Hamkumuona Lukuvi Kwenye Sakata La Mkewe Ikabidi Amkane Kwakusema Kila Mtu Ana Kazi Yake.

Kidogo Commissioner General Of Prison
Amefanya Haraka Alipoona Kombe Linakwenda Kufunuliwa.
 
Hawa jamaa ndipo wanapodata inabidi wamuulize Makonda anampatiaje huyu mtu coz unaweza fanya hili ukaona atakusifia then anakubadilikia

Yani katika kabinet yake ya uongozi hakuna aliyemsifia zaidi ya Makonda

Nasikia anampango wa kuwapiga chini wote shoo asimamie yeye na msaidizi atakuwa makonda
 
Mbona unamsahau Prof. Muhongo na Dr. Kalemani? Nao wamekula za uso kwani waliwaondoa juzi wachimbaji wadogo huko Mwakitolyo na leo JPM ameagiza warudi na leseni ya mwekezaji ifutwe. Only in Tanzania kiongozi anakula za uso lakini Hajiuzulu. Kweli njaa
.
Njaaa haiwezi kuruhusu mtu kufikia maamuzi ya kiutu zaidi ya unafiki.
Sasa hivi watakuja na ibaada ya kumtukuza mkuu wa kaya na kumshukuru kwa kuwazuia kutekeleza yale walioamini yapo katika sheria za nchi.
 
Sasa hii to much!!!!!

Mmefedheshwa sana, Mmedhalilishwa sana!!! kazi kwenu sass kupima na kuwajibika juu ya tamko la ikulu!

Kuheshimika ni sasa si kesho wa juzi, fanyeni mahamudhi! Hili tamko haliwatakii memema!

Kazi kwenu!

1: Too
2: Mmefedheheshwa
3: Sasa
4: Wala
5: Maamuzi
6: Mema

Tulia kwanza mkuu, halafu lete ripoti kamili, wengine hatujasikia ripoti yoyote tutakayoweza kuiunganisha hapa.
 
Sasa hii to much!!!!!

Mmefedheshwa sana, Mmedhalilishwa sana!!! kazi kwenu sass kupima na kuwajibika juu ya tamko la ikulu!

Kuheshimika ni sasa si kesho wa juzi, fanyeni mahamudhi! Hili tamko haliwatakii memema!

Kazi kwenu!
Unafikiri sisi tuko kichwani mwako, unalojua wewe, na sisi tunajua? Kama hoja yako unataka iwe na michango ya kueleweka, lete hapa habari kamili!! Tutachangiaje ripoti iliyo kichwani mwako?
 
Hii awamu ni ya kufedheheshana tu...
Hivi kwa nyie mawaziri,mkuu wa wilaya na wote muliotoa matamko kuwahusu wamachinga huko Mwanza bila kuwasahau nyie mulipewa "kazi ovu" ya ubomoaji...NAWAULIZA HIVI,Mnajiskiaje baada ya kuliskia tamko la baba yenu mpendwa!
Shame,right?
 
Unafikiri sisi tuko kichwani mwako, unalojua wewe, na sisi tunajua? Kama hoja yako unataka iwe na michango ya kueleweka, lete hapa habari kamili!! Tutachangiaje ripoti iliyo kichwani mwako?
kapunguze mwili ufikiri vizuri!!! Eti bonge we ni bonge wa nini!
 
M NAAMIN LAO 1, N KIK YA KISIASA TU. ARUSHA NAKO KUNA BODABODA UKU MKEMIA ANATAKA UJIKO MWANZA.
 
Back
Top Bottom