Jadili picha hizi na usisahau kutoa conclusion

Jadili picha hizi na usisahau kutoa conclusion

baina

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Posts
219
Reaction score
60
Wale waliopata 100% katika somo la kiswahili ktk topic ya tamthilia msibaki nyuma hapa 553618_128850363923338_1701701502_n.jpg
 
CHADEMA wana gari jipya na la kisasa lakini mayai, lisiloweza kuhimili vishinda na misukosuko ya bara bara mbovu za kitanzania. Hasa ukizingatia barabara zetu zimejaa makorongo na bumps za kumwaga. Na kwa upande mwingine CCM ina gari la zamani lakini imara na linaloonekana kuwa ni gari la kazi. Mwendo mdogo lakini lina uhakika wa kufika na kuzikabili shida na changamoto za bara bara za kibongo.

Kwa msingi huo, mtengenezaji wa hii tamthiliya arudi akaiandike upya, maana kama ataiacha kama ilivyo itakuwa inaibeba CCM zaidi kuliko CHADEMA.
 
Nadhani mleta uzi anataka tuona dhana nzima yaani kulinganisha shipa na chuma kipya. Nadhani hii picha inaweza kuleta maana kama wapiga kura wangeielewa hivyo. Otherwise, gari la CCM halipaswi kuwa barabarani hasa katika karne hii ya 21. Ikichangiwa na kuwa dereva wa CCM ni mpiga maji ndiyo usiseme.
 
Wale waliopata 100% katika somo la kiswahili ktk topic ya tamthilia msibaki nyuma hapaView attachment 70337

tatizo kubwa la gari la Chadema vioo vya giza yaani tinted hadi mbele (pengine hata mbele hakueleweki ni wapi), that means hata dereva haonekani wala abiria, likini pia kwa kuww hatuko ndani, yaweza kuwa si tinted ni giza kabisa kwa maana hata dereva haoni mbele anadunda tu! hizi picha zinalenga kuleta tafsiri ambayo ni tata, kwa maana yaweza kuww kweli na inaweza isiwe kweli. hapa anataka kutuaminisha kuwa cdma wakishindwa2015 wajue ni kwa kuwa hawana malengo wanashangilia uzuri wa basi bika kujali linaelekea wapi, linaendeshwa na nani na abiria wake ni nani! hilo nalo linakosea maana Cdm ina uongozi na inao wanachama na mfumo unaoonekana! yawezA KUWA NA MATATIZO katika mikakati, lakini duniani mabadiliko ya kweli huletwa ba umma na viongozi hudandia tu! japo nalo lina madhara yake makubwa tu wakitokea viingozi walafi
 
Dah kweli asee,Hili gari vioo vyake tined kama gari la majambazi, hawataki tumuone lema ndani nini? au wanamdunda zito humo?
 
kwa barabara za bongo basi la ccm linafaa zaidi kwa sababu liko ngunguri la chadema mayai
 
Barabara alizotengeneza Kikwete ndio litapita hilo basi, lingekuwepo wakati wa Nyerere sijui lingepita barabara ipi?
 
Barabara alizotengeneza Kikwete ndio litapita hilo basi, lingekuwepo wakati wa Nyerere sijui lingepita barabara ipi?

kwi kwi kwi kwiiii........... I wish Nyerere angefufuka asikie manung'uniko yako; yani unavyomlaani ni kama vile aliwabaka kinyume na maumbile wote wa kwenu kuanzia baba hadi vitoto ambavyo havijazaliwa

not sure kama tunaelewa trend nzima ya world development hasa kwenye mawasiliano na miundombinu
 
Moja ni basi la kichina na lingine old bus frm German !
 
Barabara alizotengeneza Kikwete ndio litapita hilo basi, lingekuwepo wakati wa Nyerere sijui lingepita barabara ipi?

Nyerere alifanya mambo mengi sana hapa Tanzania huwezi kumfananisha na Rais YEYOTE Tanzania. Barabara zipi alizozitengeneza JMK? Huo ni upambe bila kufikiria mkuu.
 
Conclusion ni kwamba Yutong huwa zina muonekano mzuri lakini hazina maisha yaani nguvu ya Soda, Scania huwa la muda mrefu linadunda tu after all gari injini bana!:becky:
 
Back
Top Bottom