Halafu huyu wolper hana akili .....anajua njaa ndio imemrudisha nyumbani halafu amesimama pale mbele anamsifia kikwete hajui kwamba hizi ni enzi mpya na kitabu Kipya. kama swala ni kumpenda kikwete si aende Msoga wakanywe nae chai. Ndio maana hakuna makofi aliyopewa. Yeye aseme tu kwamba amerudi ccm kwa kuwa chadema hakupata mabuzi yaliyonona...mpaka kurudi kwa harmonize kweli simba alifulia hadi akala majani.
Mbona mwenzake Wema aLiponea kwa msukuma kiroho safi!
Kikubwa tushajua ni ng'ombe aliyekatika mkia