Kwa maoni yangu kisiasa na hasa tunapoelekea 2020 naona swali lako halina tija kwa vyama vya upinzani. Halisaidii upinzani kujitathmini na kujiwekea mikakati mipya ili 2020 iwe na mafanikio zaidi. Afterall, mtu kuondoka chama ni haki yake ya kidemokrasia.
Lamsingi ni kuwa more objective na kujiuliza maswali magumu ya kwanini watu au mtu anaondoka kwenye chama...demotivation ni nini?? etc etc