Watu kama hawa ndo nasema hatuwahitaji ndani ya chama cha siasa. Hawana msaada wowote ndani ya chama. Hawawezi kutoa mawazo ya kukijenga chama. Wanachosubilia ni kutaka chama kiwape nafasi ya kuvuna. CCM kama chama kikongwe nisingetegemea kiwape hata nafasi ya kuzungumza. Ni bahati mbaya kabisa kwamba eti nao wanapewa airtime. Hebu sikiliza alichoongea sasa!
Kweli mkutano mkuu wa chama unaweza kuruhusu watu kama hawa kuzungumza? Hapo ndo CCM inapoanguka. Mkutano mkuu ni brain ya chama. Unaalika mtu kujenga kusema fulani nampenda sana! sana!