Msanii nguli wa filamu nchini muda huu katika hafla ya wasanii ya kumuaga Mwenyekiti Mstaafu Mh. Jakaya Kikwete ametangaza rasmi kurejea CCM.
"Nilipotea kwenda kule, nimeamua kurudi nyumbani".
Karibu nyumbani uungane na wenye akili, maisha na maendeleo yapo huku, kule kuna chuki, fitina, uzandiki, majungu na kundi la majobless wenye roho mbaya.
Karibu nyumbani uonje raha ya utu.
Anazimiaje wakati huenda wala alikuwa haangalii wala hajui kilichokuwa kinaendelea dodoma? Mambo mengine shirikisha ubongoHahahaha Lowasa atazimia kabisa....
Hahahahahaaaaa! Njoo na kule kwingine unakojiita mzeeSiasa ni kama soka. Usajili hauishi kufanyika kila mwezi,mwaka na msimu
Hahaha...Hawa nilijua tu watarudi
Akirudi msaliti mtampokea?Tunasubiri Dr Slaa pesa za ccm ziishe arudi chadema,lipumba kishazimaliza