Jacqueline Silemu wa ITV...

Kwa lipi sasa alivyo jichubua au? Nmeamin kumbe wengi hatu angalii taarifa bali tuna angalia urembo/uzuri wa watangazaji, ndio maana mambo mengi yana tupita...
 
Vijana hili ndilo jukwaa la siasa ?

Dah! Mambo yote ni pamoja daima ndiyo habari ya mujini na vijijini.
 
Ngoja nami nnianze kuangalia IPP kabla ya comment zangu
 
tupieni picha ili na sisi tuliopo huku Kavifuti tusioipata ITV tumfahamu.
 
Mie ningekupa code yake lakini sikupi kwani katika list ya watu ninaoplan kuwapitia 2014 ni huyu..
maisha yenyewe mafupi

NAKULA UJANA.......

Mke wa mtu sumu aisee. Mwenzio nimemaind ila nimejizuia kufika huko. Bado naupenda ugali!
 
Msioone vyaelea vimeundwa, hadi hapo alipofikia ni watu wamemtengeneza. Fanya kazi Jack usibweteke na misifa hiyo ya wenye pepo za ngono. Ingawa hata mm unaniumiza sana ukiwa umekunja ndita zako.

kumbe na ww una pepo la ngono au jini mahaba kabisa?
 
Msioone vyaelea vimeundwa, hadi hapo alipofikia ni watu wamemtengeneza. Fanya kazi Jack usibweteke na misifa hiyo ya wenye pepo za ngono. Ingawa hata mm unaniumiza sana ukiwa umekunja ndita zako.

Wewe watu wanasimamia show kama kawaida, unafkiri kuna mwanamke wa peke yako?!!! Ngoja niuze maboga yangu hapa nianze kumpigia misele, nikitenga 5M kitaeleweka tu!
 
napita.......
 
Mie ningekupa code yake lakini sikupi kwani katika list ya watu ninaoplan kuwapitia 2014 ni huyu..
maisha yenyewe mafupi
Eh, s

NAKULA UJANA.......
Umetisha mkuu.
 
idd amin alikuwa anakauli mbiu yake akiona msichana mzuri utamsikia anasema "mine mine, its mine''
 
Kuna siku alinipigia simu kunitega anishikishe rushwa hahah nikaruka mita 1000.

Et naitwa Jack, mwanzo sikuelewa Jak yupi baada ya kueleza issue yenyewe. Nikamruka vibaya
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…