Jacob Usungu karudi RFA?

Jacob Usungu karudi RFA?

jiwe la maji

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2014
Posts
1,062
Reaction score
706
muda huu wakati naandika huu uzi jacob usungu au dj young millioner yuko anashusha vibao katika kipindi chake cha zamani usiku wa millenium swali je amerejea tena au nikwaleo tu? basi afanye na roving dj star tv maana tumekimiss sana
 
Ana kiduka chake pale sokoni mjini Mwanza ilipokuwa stand zamani ana huduma za Mpesa na kuuza miziki ya zilipendwa
 
Back
Top Bottom