Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,834
- 18,837
Katika maisha ya sasa si Vyama kuadopt wakati IVF ipodaah ila ange adopt tu, kuna watoto wengi wanahitaji wazazi...
Ndio nn hiyo?Katika maisha ya sasa si Vyama kuadopt wakati IVF ipo
Uvumilivu umekushinda sio, Inaonyesha kuna ukweli zaidi unaujua kuhusu JBmungu anakuona jb
Mrembo DEMBA upo?daah ila ange adopt tu, kuna watoto wengi wanahitaji wazazi...
How do u knw ?Mungu ambariki ingawa on the other side in total opposite
KristoMUNGU ni mwema kwa watu wote, Mungu anayo makusudi yake...
Hata Abraham, (Baba wa Iman), haikuwa rahis kuamini kwa kizazi hichi cha ishara kuamini pale alipoambia, uzao wako utakuwa mfano wa nyota na mchanga wa baharini
Maisha yamebadilika hakuna kuadopt siku hizi bibiedaah ila ange adopt tu, kuna watoto wengi wanahitaji wazazi...
Milele Amina..Tumsifu Yesu k
Kristo
Mungu atamsaidiaMwigizaji wa bongo movie Jacob Steven JB akihojiwa kwenye kipindi cha kikaangoni amefunguka kuhusu maisha yake na kusema ameoa lakini mpaka sasa hajabarikiwa kupata mtoto lakini ana furaha tele
Amedai pia ameokoka na hana mchepuko katika maisha yake kwa kuwa anaamini kuwa na wanawake wengi kunakuletea mabalaa katika maisha
Mwigizaji wa bongo movie Jacob Steven JB akihojiwa kwenye kipindi cha kikaangoni amefunguka kuhusu maisha yake na kusema ameoa lakini mpaka sasa hajabarikiwa kupata mtoto lakini ana furaha tele
Amedai pia ameokoka na hana mchepuko katika maisha yake kwa kuwa anaamini kuwa na wanawake wengi kunakuletea mabalaa katika maisha